Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
- Thread starter
- #21
Anajitoa ufahamu huyo.Lina hadhi sana, labda ubongo wako siyo wa Great Thinker

Anajitoa ufahamu huyoLina hadhi sana, labda ubongo wako siyo wa Great Thinker
Mipasho ni ile ya kitima, hii hapa ni facts tuHadi wakati huu umesha tibu wangapi!Na mbona mipasho zaidi?Je pia sio mmoja wa hadhi unayo irushia mipasho!
Watu watekwe na chadema halafu mumsingizie Samia, nyie wehu kweli kweli.Mwambie huyo mama yako chura kiziwi aache kuteka watu, hicho ndio kinamgombanisha na wananchi.
Ananuka damu za watu huyo bibienu
Na Bado Kila mimba utakayoshika itaharibika, si hiii tu.Sawa wanu kahudumie ndoa sasa tushakupata
Na Bado Kila mimba utakayoshika itaharibika, si hiii tu.
Huwa nawaprove wrong watu kama wewe mkuu,unaanzaje kutengeneza uhalisia wangu kupitia maandishi?...heshimu mipaka yako mkuu usijipe uhalali wa kujudge watu humuNilifikiri una akili, kumbe ni box tupu
Katubu=KatibuNaunga mkono hoja. Fr Charles Kitima ametumia kipindi chake kama Katubu Mkuu wa TEC kuligombanisha Kanisa dhidi ya Serikali ma dhidi ya wananchi wengine.
Kama kweli Kitima ni kiongozi safi na ana PhD kwa nini basi Pope huko Vatican asimteue kuwa Askofu?? Huyi mtu ni very TOXIC
Angalizo: Mimi ni Mkatoliki jimbo kuu la Dar, parokia Bikira Mara wa Huruma, Mbezi Juu
Maisha bila kufanya uchawa yanawezekana. Free yourself, physically and mentally!Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka.
PhDs zimechemkaje?
1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani), aliweza kuona wazi kuwa yalielekezwa kumchamba Samia zaidi ya kushughulikia msiba. Inachekesha sana. Ni chemko kubwa mno kwa PhD holders😀😀. Tulitarajia makubwa zaidi na ukomavu kutoka kwao.
2. Kutojua kuwa Mh. Majaliwa, Mpango na Jesca ni zao la JK na Samia (wasiowapenda).
PhDs zilitumia nguvu kubwa kuandaa mazingira ya niliowataja hapo 'kushine' katika tukio lao kwa lengo eti la 'kukuumiza' Samia 🤣🤣. Safi tu, sina shida yoyote na hao jamaa zangu....hata kidogo. Ila kitu ambacho PhDs hizi zilijisahau ni kuwa ukimsungimzia Majaliwa na Mpango (majaliwa zaidi) basi umemzungumzia Jk. Hata katika hotuba yake ya kuaga, Majaliwa amemtaja sana jk....mwanzo mwisho. Kama hiyo haitoshi, Mpango amekuwa makamu kipindi Cha Samia na Jesca amepata ubunge sababu ya Samia. Hahahahahahaa, PhDs nazo kumbe hua zinatpka nje ya reli pale chuki zinapotamalaki?!!
Marehemu amedhalilishwaje?
1. Hadhi yake ni kubwa sana haikupaswa kuagwa kwake kuwe na maujingaujinga ndani yake.
2. Lile dongo alilosomewa Samia na yule Binti kwa lengo la kumuumiza limewapiga zaidi marehemu na ndugu zake kuliko Samia mwenyewe. Kwani marehemu alikuwa muuaji Hadi asomewe andiko lile? Au ile event ilikuwa ya Samia?!!! Nina uhakika ndugu wa marehemu, wale wasio na chuki na Samia, hawakupendezwa na ile basi tu hawakuwa na namna. Sijui kitima angetamani siku yake wafanye kama vile walivyomfanyia mwenzao? PhDs hapa walichemka sana.
Kivipi Mchukiwa wao (wanayemchukia) kashinda?
1. Kwa wenye akili, lengo la haters halikutimia; wameumbuka wenyewe. Huu ni ushindi kwa mtengenezewa fitina.
2. Hakutoa neno lolote.....walijiandaa na kuandaa watu wao Ili kupotosha Kila neno ambalo lingetoka kinywani kwake; haikuwa hivyo. Aibu kwao.
3. Ametamka, yule mchukia mkuu wa Samia, "Mheshimiwa Rais...". Huku kukiri (kuwe kwa shingo upande au la) kunatosha.......hivyo vijembe vingine vya kishamba ni vya kupuuzwa tu kama kawaida.
Note:
Jana kazindua ujenzi wa matenki ya mafuta......hupendi maendeleo yake, humpendi yeye kama yeye basi POOOLE sana!
Alamsiki!!
Hao Jamaa wa Hilo kanisa wamekuwa wajinga kama sio wapumbavu,Kwa Sasa hawana tofauti na Machadema 😂😂Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Sio Kila mwenye PhD hupewa uaskofu wewe sio mkatoliki Kuna mapadre mabruda na masista wengi TU wana PhD . Wakatoliki tunawaheshimu viongozi wetu harafu kitima ni katibu TU anachofanya ni kusema kilichoamuliwa na kanisaNaunga mkono hoja. Fr Charles Kitima ametumia kipindi chake kama Katubu Mkuu wa TEC kuligombanisha Kanisa dhidi ya Serikali ma dhidi ya wananchi wengine.
Kama kweli Kitima ni kiongozi safi na ana PhD kwa nini basi Pope huko Vatican asimteue kuwa Askofu?? Huyi mtu ni very TOXIC
Angalizo: Mimi ni Mkatoliki jimbo kuu la Dar, parokia Bikira Mara wa Huruma, Mbezi Juu
Muombee matashi mema ateuliwe kuwa askofu..Naunga mkono hoja. Fr Charles Kitima ametumia kipindi chake kama Katubu Mkuu wa TEC kuligombanisha Kanisa dhidi ya Serikali ma dhidi ya wananchi wengine.
Kama kweli Kitima ni kiongozi safi na ana PhD kwa nini basi Pope huko Vatican asimteue kuwa Askofu?? Huyi mtu ni very TOXIC
Angalizo: Mimi ni Mkatoliki jimbo kuu la Dar, parokia Bikira Mara wa Huruma, Mbezi Juu
Amekataliwaje wakati ndiye Rais wako?? Misukule bana sijui akili zenu zinatumikajeKatoliki ilikemea na nyaraka walitoa
Huyo mamaako mnyonya damu kakataliwa duniani na mbinguni pia
Asante kwa kunisahihisha. Ila mimi siyo dogo. Ni mstaafu tayariKatubu=Katibu
Huyi=Huyu
Mara Wa Huruma=Mama Wa Huruma,...,..........###MafiiYakoDogo###
Si mnadai anenyooka na ni mkweli? Sasa kwa nini asipate Uaskofu?Sio Kila mwenye PhD hupewa uaskofu wewe sio mkatoliki Kuna mapadre mabruda na masista wengi TU wana PhD . Wakatoliki tunawaheshimu viongozi wetu harafu kitima ni katibu TU anachofanya ni kusema kilichoamuliwa na kanisa
Hawezi kupata. Akipata basi nitahamia TAGMuombee matashi mema ateuliwe kuwa askofu..
Asante kwa kunisahihisha. Ila mimi siyo dogo. Ni mstaafu tayari
Kutumia matusi kwenye mjadala badala ya lugha ya staha nayo ni dalili ya kuwa empty headed upstairsNisamehe Ndugu Mstaafu...###MafiiYakoMstaafu###
Kwa vile nyie mmezoea kuchamna na uchawa basi mnadhani kila mtu anachamba, na kila mtu mnataka awe chawq.Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.