PhDs zimechemka; Marehemu amedhalilishwa; wamchukiae ameibuka mshindi tena!!

Katubu=Katibu
Huyi=Huyu
Mara Wa Huruma=Mama Wa Huruma,...,..........###MafiiYakoDogo###
 
Maisha bila kufanya uchawa yanawezekana. Free yourself, physically and mentally!
 
Hao Jamaa wa Hilo kanisa wamekuwa wajinga kama sio wapumbavu,Kwa Sasa hawana tofauti na Machadema 😂😂

Uzuri wa chuki ni unaumia wewe kuliko unaemchukia.
 
Sio Kila mwenye PhD hupewa uaskofu wewe sio mkatoliki Kuna mapadre mabruda na masista wengi TU wana PhD . Wakatoliki tunawaheshimu viongozi wetu harafu kitima ni katibu TU anachofanya ni kusema kilichoamuliwa na kanisa
 
Muombee matashi mema ateuliwe kuwa askofu..
 
Katoliki ilikemea na nyaraka walitoa

Huyo mamaako mnyonya damu kakataliwa duniani na mbinguni pia
Amekataliwaje wakati ndiye Rais wako?? Misukule bana sijui akili zenu zinatumikaje
 
Sio Kila mwenye PhD hupewa uaskofu wewe sio mkatoliki Kuna mapadre mabruda na masista wengi TU wana PhD . Wakatoliki tunawaheshimu viongozi wetu harafu kitima ni katibu TU anachofanya ni kusema kilichoamuliwa na kanisa
Si mnadai anenyooka na ni mkweli? Sasa kwa nini asipate Uaskofu?
 
Liuwaji la watanganyika litakufa km mzoga

watanganyika wenzetu walikufwa na kuzikwa km mizoga

atalipa kwa uchungu na yeye
 
Kwa vile nyie mmezoea kuchamna na uchawa basi mnadhani kila mtu anachamba, na kila mtu mnataka awe chawq.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…