We chawa .. kwa hiyo hata akitokea raisi kichaa akaua watu milioni tano utasema asikemewe kwa kua Magufuli nae aliua .. Hujui vizazi vinaishi kwa kubadilika kwa kua vizazi vya nyuma vilitapeliwa na sasa unataka iwe hivyo.. acha utapeli na hoja za kitoto chupiMbona Magufuli alipokuwa anaanzisha kuua na kuteka hukuwahi kukemea?
Exactly Sir....!!And Nobody Alive He/She Is So Full Headed Upstairs Sir....!!Kutumia matusi kwenye mjadala badala ya lugha ya staha nayo ni dalili ya kuwa empty headed upstairs
Kwamba unaamini lile.somo.limeandaliwa kwa ajili ya Samuya!Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka.
PhDs zimechemkaje?
1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani), aliweza kuona wazi kuwa yalielekezwa kumchamba Samia zaidi ya kushughulikia msiba. Inachekesha sana. Ni chemko kubwa mno kwa PhD holders😀😀. Tulitarajia makubwa zaidi na ukomavu kutoka kwao.
2. Kutojua kuwa Mh. Majaliwa, Mpango na Jesca ni zao la JK na Samia (wasiowapenda).
PhDs zilitumia nguvu kubwa kuandaa mazingira ya niliowataja hapo 'kushine' katika tukio lao kwa lengo eti la 'kukuumiza' Samia 🤣🤣. Safi tu, sina shida yoyote na hao jamaa zangu....hata kidogo. Ila kitu ambacho PhDs hizi zilijisahau ni kuwa ukimsungimzia Majaliwa na Mpango (majaliwa zaidi) basi umemzungumzia Jk. Hata katika hotuba yake ya kuaga, Majaliwa amemtaja sana jk....mwanzo mwisho. Kama hiyo haitoshi, Mpango amekuwa makamu kipindi Cha Samia na Jesca amepata ubunge sababu ya Samia. Hahahahahahaa, PhDs nazo kumbe hua zinatpka nje ya reli pale chuki zinapotamalaki?!!
Marehemu amedhalilishwaje?
1. Hadhi yake ni kubwa sana haikupaswa kuagwa kwake kuwe na maujingaujinga ndani yake.
2. Lile dongo alilosomewa Samia na yule Binti kwa lengo la kumuumiza limewapiga zaidi marehemu na ndugu zake kuliko Samia mwenyewe. Kwani marehemu alikuwa muuaji Hadi asomewe andiko lile? Au ile event ilikuwa ya Samia?!!! Nina uhakika ndugu wa marehemu, wale wasio na chuki na Samia, hawakupendezwa na ile basi tu hawakuwa na namna. Sijui kitima angetamani siku yake wafanye kama vile walivyomfanyia mwenzao? PhDs hapa walichemka sana.
Kivipi Mchukiwa wao (wanayemchukia) kashinda?
1. Kwa wenye akili, lengo la haters halikutimia; wameumbuka wenyewe. Huu ni ushindi kwa mtengenezewa fitina.
2. Hakutoa neno lolote.....walijiandaa na kuandaa watu wao Ili kupotosha Kila neno ambalo lingetoka kinywani kwake; haikuwa hivyo. Aibu kwao.
3. Ametamka, yule mchukia mkuu wa Samia, "Mheshimiwa Rais...". Huku kukiri (kuwe kwa shingo upande au la) kunatosha.......hivyo vijembe vingine vya kishamba ni vya kupuuzwa tu kama kawaida.
Note:
Jana kazindua ujenzi wa matenki ya mafuta......hupendi maendeleo yake, humpendi yeye kama yeye basi POOOLE sana!
Alamsiki!!
Kwahiyo si lazima somo liendane na tukio (muktadha), sio? Shughuli ya ndoa inaweza kupata somo la wizi, sio?Kwamba unaamini lile.somo.limeandaliwa kwa ajili ya Samuya!
Huwajui wakatoliki vzr wewe!
Kila siku kwa kanisa Ina somo lake.Jitahodi hata utafute shajala yao basi
You too!Maisha bila kufanya uchawa yanawezekana. Free yourself, physically and mentally!
Kumbe sindano ziliingia mpaka kugusa mfupa. Watu wamezoea kutupa vijembe, kwa hiyo ujumbe uliposomwa katika ibada ya misa takatifu wakaishia kuotafsiri kuwa nacho ni kijembe kimetupwa kwao!?🤣🤣Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka.
PhDs zimechemkaje?
1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani), aliweza kuona wazi kuwa yalielekezwa kumchamba Samia zaidi ya kushughulikia msiba. Inachekesha sana. Ni chemko kubwa mno kwa PhD holders😀😀. Tulitarajia makubwa zaidi na ukomavu kutoka kwao.
2. Kutojua kuwa Mh. Majaliwa, Mpango na Jesca ni zao la JK na Samia (wasiowapenda).
PhDs zilitumia nguvu kubwa kuandaa mazingira ya niliowataja hapo 'kushine' katika tukio lao kwa lengo eti la 'kukuumiza' Samia 🤣🤣. Safi tu, sina shida yoyote na hao jamaa zangu....hata kidogo. Ila kitu ambacho PhDs hizi zilijisahau ni kuwa ukimsungimzia Majaliwa na Mpango (majaliwa zaidi) basi umemzungumzia Jk. Hata katika hotuba yake ya kuaga, Majaliwa amemtaja sana jk....mwanzo mwisho. Kama hiyo haitoshi, Mpango amekuwa makamu kipindi Cha Samia na Jesca amepata ubunge sababu ya Samia. Hahahahahahaa, PhDs nazo kumbe hua zinatpka nje ya reli pale chuki zinapotamalaki?!!
Marehemu amedhalilishwaje?
1. Hadhi yake ni kubwa sana haikupaswa kuagwa kwake kuwe na maujingaujinga ndani yake.
2. Lile dongo alilosomewa Samia na yule Binti kwa lengo la kumuumiza limewapiga zaidi marehemu na ndugu zake kuliko Samia mwenyewe. Kwani marehemu alikuwa muuaji Hadi asomewe andiko lile? Au ile event ilikuwa ya Samia?!!! Nina uhakika ndugu wa marehemu, wale wasio na chuki na Samia, hawakupendezwa na ile basi tu hawakuwa na namna. Sijui kitima angetamani siku yake wafanye kama vile walivyomfanyia mwenzao? PhDs hapa walichemka sana.
Kivipi Mchukiwa wao (wanayemchukia) kashinda?
1. Kwa wenye akili, lengo la haters halikutimia; wameumbuka wenyewe. Huu ni ushindi kwa mtengenezewa fitina.
2. Hakutoa neno lolote.....walijiandaa na kuandaa watu wao Ili kupotosha Kila neno ambalo lingetoka kinywani kwake; haikuwa hivyo. Aibu kwao.
3. Ametamka, yule mchukia mkuu wa Samia, "Mheshimiwa Rais...". Huku kukiri (kuwe kwa shingo upande au la) kunatosha.......hivyo vijembe vingine vya kishamba ni vya kupuuzwa tu kama kawaida.
Note:
Jana kazindua ujenzi wa matenki ya mafuta......hupendi maendeleo yake, humpendi yeye kama yeye basi POOOLE sana!
Alamsiki!!
Sindano imewaingia nyie haters wa Samia mpaka mnaharibu shughuli zenu muhimu.Kumbe sindano ziliingia mpaka kugusa mfupa. Watu wamezoea kutupa vijembe, kwa hiyo ujumbe uliposomwa katika ibada ya misa takatifu wakaishia kuotafsiri kuwa nacho ni kijembe kimetupwa kwao!?🤣🤣
Wakatoliki wapo katika kipindi cha Kwaresma, ule kwao ulikuwa ni ujumbe wa kiimani kwao. Wala haijalishi umepokelewa vipi Kwa wale wasiokuwa waumini.
Unaweza kukuta huyu nae ni mke wa mtu eti!🤣🤣🤣Kila mtu alimuona uso ulivyomshuka. Hakutaka hata kuongea maana pale sio mahali pa vijembe vya Vinginguti, pale ni sehemu takatifu
Reasoning ya kitoto kabisa hii, halafu unajiita 'mstaafu' nina mashaka na utendaji + mchango wako katika hiyo nafasi yako popote ulipo.Mbona Magufuli alipokuwa anaanzisha kuua na kuteka hukuwahi kukemea?
Sawa watu wanatekwa na CHADEMA, ina maana serikali na vyombo vya ulinzi (hususani PT) wameruhusu CHADEMA waendelee kuteka watu bila kuchukua hatua? Au utekaji siyo kosa la jinai siku hizi??Watu watekwe na chadema halafu mumsingizie Samia, nyie wehu kweli kweli.
Siku zote somo ni mahsusi kwa walio hai ili waweze kutengeneza njia zao. Marehemu/mwendazake yeye alishamaliza mwendo.Kwahiyo si lazima somo liendane na tukio (muktadha), sio? Shughuli ya ndoa inaweza kupata somo la wizi, sio?
Kuwaua waharibifu wa miundombinu ya Serikali ilikuwa ni jambo la lazima. Yale hayakuwa maandamano, hata wangekuwa 10 as long as wanachoma miundombinu na kuiba mali za watu, risasi ilikuwa ni halali yaoWe chawa .. kwa hiyo hata akitokea raisi kichaa akaua watu milioni tano utasema asikemewe kwa kua Magufuli nae aliua .. Hujui vizazi vinaishi kwa kubadilika kwa kua vizazi vya nyuma vilitapeliwa na sasa unataka iwe hivyo.. acha utapeli na hoja za kitoto chupi
Usifiche uwehu wako kwenye nadharia za kutunga. You are just one of the emoty headed ndiyo maana unatumia matusiExactly Sir....!!And Nobody Alive He/She Is So Full Headed Upstairs Sir....!!
Usiwe na wasiwasi na utendaji wangu, nilikuwa brilliant na ninestaafu na nafasi ya afisa masuuli kwenye taasisi niliyokuwaReasoning ya kitoto kabisa hii, halafu unajiita 'mstaafu' nina mashaka na utendaji + mchango wako katika hiyo nafasi yako popote ulipo.
Anyways, kuna msemo Wazaramo wanasema, "two wrongs don't make a right". Hata hivyo mbona LHRC, TEC na wanaharakati wengine walipinga maovu yaliyokuwa yakifanywa na JPM na rekodi zipo.
We kajamaa.. Utulivu wa nchi hautulizwi hivyo.. Unajaua kwa nini Dunia etc congo, iraq, somalia , sudani Vikundi mbalimbali vipo vitani na serikali ni matokeo ya haya mambo..NB Kuua raia kwa Risasi ni kazi ndogo sana ila ikifika hatua kuna majibizano ya risasi kati ya police na vikundi imara ie M23 ndo ujisifu kufanya mauaji..Kuwaua waharibifu wa miundombinu ya Serikali ilikuwa ni jambo la lazima. Yale hayakuwa maandamano, hata wangekuwa 10 as long as wanachoma miundombinu na kuiba mali za watu, risasi ilikuwa ni halali yao
Punguza Kisirani Mstaafuu,,, Wewe Sio Mdoli Mafii Yako Lazima Uwe Nayo Tu,,Wala Aihitaji Kuwa Mwehu....Usifiche uwehu wako kwenye nadharia za kutunga. You are just one of the emoty headed ndiyo maana unatumia matusi