princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
I smelled something like this, kumbe nimeanza kukufaham saizi😍😇🤭Niko poa wangu….mi dada yako Ty so usiogope cute😉
🥴😍😍I smelled something like this, kumbe nimeanza kukufaham saizi😍😇🤭
Haya mommie, mie nipo❤
Sawa wanguHaya mommie, mie nipo❤
Upo sahihi.[emoji817]Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.
Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview
Me mwenyewe niliwahi waza usikute vile vigololi ni madini. Naenda kuzipasua leo alaa😂usiseme huna kilakitu wakati unatembea na kende hizo ni mali.
😂😂😂Aya TAJIRI jina! Ndo maisha yenyewe hayo lakini
Kuoa ni uamuzi wa mtu binafsi. Kuona siyo kipato. Kuoa siyo umri. Kuoa ni uamuzi. Huyu mwanzisha thread bado anaishi zile zama za ''kuchungulia'' wengine wanafanya nini. Infact ni vijana wengi wa Tanzania wako hivyo. Hawajiamini. Wanaendeshwa na ya wenzao badala ya kuendesha maisha yao. Hii ni hatari sana na unaweza kujikuta huna furaha muda wote kwa kutaka kulinganisha wanachofanya wenzako na unachofanya wewe.Mbona kipato cha foden hujaweka kwa wiki? Balance stori hiyo
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Asante sana mkuu. Au waambie kuna wenye miaka 17 na wana watoto! Ukweli ni kuwa kila mtu ana maisha yake na binadamu tunatakiwa tujiamini. Tusiishi kwa pressure za kuangalia wenzetu wamefanya nini na sisi kwa nini hatujafanya.Kuna mtu ana umri kama wako amesha-dead
Wewe bado upo tu
Jamani si tulikubaliana tusijilinganishe na watu wengne
Ninapoishi kwa wazazi kwangu. Na wazazi wana kwao.
Kwani mke ni nini? na watoto ni nini?