Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Kikubwa wote tutakufa msinipe stress maaan najua kwa miaka 30 hii siwez kuwa bilionea tena ko nikila nikishiba nikichart kwishinei alafu tutakutana kwa baba paradiso tutakuwa wote sawa
 
Kuna makosa tunayafanya kipindi cha 20's bila kujua kuwa ni makosa na Wala hautokuja kujua kuwa ulifanya kosa...wenzetu hili wanalijua hivyo Kwa miaka ya P.foden Wala sishangai.
 
Mimi soon Ins Shaa Allaah nitampiku , itapigwa hivi miaka 25 wake 2 watoto 3 . Maghayo yeye anawaza kuongeza kilo za bange tu.
 
Mbona kipato cha foden hujaweka kwa wiki? Balance stori hiyo
Kuoa ni uamuzi wa mtu binafsi. Kuona siyo kipato. Kuoa siyo umri. Kuoa ni uamuzi. Huyu mwanzisha thread bado anaishi zile zama za ''kuchungulia'' wengine wanafanya nini. Infact ni vijana wengi wa Tanzania wako hivyo. Hawajiamini. Wanaendeshwa na ya wenzao badala ya kuendesha maisha yao. Hii ni hatari sana na unaweza kujikuta huna furaha muda wote kwa kutaka kulinganisha wanachofanya wenzako na unachofanya wewe.
 
Kuna mtu ana umri kama wako amesha-dead

Wewe bado upo tu
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Asante sana mkuu. Au waambie kuna wenye miaka 17 na wana watoto! Ukweli ni kuwa kila mtu ana maisha yake na binadamu tunatakiwa tujiamini. Tusiishi kwa pressure za kuangalia wenzetu wamefanya nini na sisi kwa nini hatujafanya.
 
Back
Top Bottom