Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Sure 😃Na kwanza,hapo ni kwenu.Wafukuze baba na mama yako waambie nao warudi kwa wazazi wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure 😃Na kwanza,hapo ni kwenu.Wafukuze baba na mama yako waambie nao warudi kwa wazazi wao.
Unaniangusha tajiri,Nina 32 sina mke sina mtoto sina maisha yaani sina kila kitu. Maisha haya nyoso sana
😂😂😂😂😂😂Yani katika mambo aliyofanikiwa so far ni kua member wa JF tu.
😀
hajafikiria hilo, suala la kuoa nila mtu binafsi wala haliingiliani na kipato
kuna watu vijijini hawana kipato na wameoa kwenye umri wa miaka 18
kuna waziri Kenya hapo hana mke wala mtoto, na maisha yanakwenda
maamuzi ya kijana kuoa na kuwa na familia hayawezi kuwa kigezo cha dunia nzima kumfata yeye
alafu unataka na sisi tuoe walio tuzidi umri ama
Kwenye suala la ndoa mleta mada kakurupuka tu
Ndoa sio ya kuingia eti kisa umri
... muhimu ni PESA! ...Tazama mwenyewe,View attachment 2986545
Heshima kuita watu usiowajua Zombie? Unafikiri humu kila mtu ni rika lako?Wewe unataka fujo alafu Mimi humu kila mtu Nampa heshima yake sitaki majibuzano ya ovyo
Shikilia vizuri mkuu😂Unaniangusha tajiri,
Babu funika kombe Mwana haramu apite ijumaa Leo nenda kaswali msikitini umkumbuke Mola wakoHeshima kuita watu usiowajua Zombie? Unafikiri humu kila mtu ni rika lako?
Kama huko vijiweni mnaitana hivyo na mnaona ni sawa tu basi haimaanishi kua kila mtu utamwita hivyo na akaona ni sawa,watch ur limit.
Pale akisimama MchinaYupo UK nipo TZ
Wana mifumo mizuri ya kiuongozi tuna mifumo ya kijinga chini ya ccm.
Kule rasilimali ni za wote huku ni za wakina Mwigulu,Jenista Mhagama etc.
What do you expect?
Acha nibaki na aged yangu kwenye nchi ya hovyo kabisa Kama hii
Nani amekukaririsha kua Mimi hua nafanya ibada baada tu ya kukumbushwa na wewe?Babu funika kombe Mwana haramu apite ijumaa Leo nenda kaswali msikitini umkumbuke Mola wako
Mkuu Mimi SIO mtu wa fujo Ila ukiniletea hisia zako za kifujofujo nitakupelekea najua jinsi ya kupigana na Nguruwe bila kuchafuka kwa hio wewe Nguruwe angalia fujo zakoNani amekukaririsha kua Mimi hua nafanya ibada baada tu ya kukumbushwa na wewe?
Aliyekwambia kua nimemsahau mola wangu ni nani? Wewe unajua huku ninapoishi Mimi ni saa ngapi saa hizi mpaka uniambie niende Msikitini now?
Hapo kwenye kwenda dodoma kwa interview kila mwezi kuna namna umegusa wengi 😀😀😀Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.
Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview