Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Huyu foden ana bag in milion 640 kwa wiki ukizidisha mara mwez unapata billion 2.4, sasa mkuu hapa kuoa itakuwa shida ? Hata akiwa na watoto 20 anaweza wapambania, mkuu usifananishe professional athletes especially wa ulaya na huku bongo, hata ivyo mtoto wa kwanza wa jay z alimpata akiwa na 43 yrs old, wacha watu waende kwa pace yao binafsi, watu wanakimbilia kuzaa ndio mana kuna maomba omba wengi mtaani na mahomeless kids..
 
Watu wanasema hawana kipato..wakati wazee wao waliwazaa nahawakua nakipato nahudumu zilikua chini..
 
hajafikiria hilo, suala la kuoa nila mtu binafsi wala haliingiliani na kipato

kuna watu vijijini hawana kipato na wameoa kwenye umri wa miaka 18

kuna waziri Kenya hapo hana mke wala mtoto, na maisha yanakwenda

maamuzi ya kijana kuoa na kuwa na familia hayawezi kuwa kigezo cha dunia nzima kumfata yeye

alafu unataka na sisi tuoe walio tuzidi umri ama

Kwenye suala la ndoa mleta mada kakurupuka tu
Ndoa sio ya kuingia eti kisa umri
 
Kwenye suala la ndoa mleta mada kakurupuka tu
Ndoa sio ya kuingia eti kisa umri

sijakurupuka, kutoingia kwenye ndoa kabisa sio jambo baya kama hufanyi tendo la ndoa

ila kutoingia kwenye ndoa na huku huwezi kujizuia nyegezz hivyo unashiriki tendo la ndoa kwa njia ya zinaa ni jambo baya sana unafanya. matokeo ya uzinzi ni mabaya kuliko matokeo ya kuingia kwenye ndoa mapema
 
Yupo UK nipo TZ
Wana mifumo mizuri ya kiuongozi tuna mifumo ya kijinga chini ya ccm.
Kule rasilimali ni za wote huku ni za wakina Mwigulu,Jenista Mhagama etc.

What do you expect?

Acha nibaki na aged yangu kwenye nchi ya hovyo kabisa Kama hii
 
Heshima kuita watu usiowajua Zombie? Unafikiri humu kila mtu ni rika lako?

Kama huko vijiweni mnaitana hivyo na mnaona ni sawa tu basi haimaanishi kua kila mtu utamwita hivyo na akaona ni sawa,watch ur limit.
Babu funika kombe Mwana haramu apite ijumaa Leo nenda kaswali msikitini umkumbuke Mola wako
 
Yupo UK nipo TZ
Wana mifumo mizuri ya kiuongozi tuna mifumo ya kijinga chini ya ccm.
Kule rasilimali ni za wote huku ni za wakina Mwigulu,Jenista Mhagama etc.

What do you expect?

Acha nibaki na aged yangu kwenye nchi ya hovyo kabisa Kama hii
Pale akisimama Mchina
Pale ukisimama wewe

Anaeangaliwa kwa Jicho la haraka ni Mchina

Don't QUOTE me wrong
 
Babu funika kombe Mwana haramu apite ijumaa Leo nenda kaswali msikitini umkumbuke Mola wako
Nani amekukaririsha kua Mimi hua nafanya ibada baada tu ya kukumbushwa na wewe?

Aliyekwambia kua nimemsahau mola wangu ni nani? Wewe unajua huku ninapoishi Mimi ni saa ngapi saa hizi mpaka uniambie niende Msikitini now?
 
Anafanya shughuli gani?
Kama ni kipaji wa soccer etc ana haki ya kuwa na familia akiwa mdogo maana ashabalehe.
Hata mwanangu p akibalehe tu na kuwa na uhakika wa kipato nitamtafutia toto lenye mitako afaidi dunia
 
Nani amekukaririsha kua Mimi hua nafanya ibada baada tu ya kukumbushwa na wewe?

Aliyekwambia kua nimemsahau mola wangu ni nani? Wewe unajua huku ninapoishi Mimi ni saa ngapi saa hizi mpaka uniambie niende Msikitini now?
Mkuu Mimi SIO mtu wa fujo Ila ukiniletea hisia zako za kifujofujo nitakupelekea najua jinsi ya kupigana na Nguruwe bila kuchafuka kwa hio wewe Nguruwe angalia fujo zako
 
Miaka 23 kibongo ndo kijana katoka çhuo anahangaikia ajira, anaishi kwa mshikaji wake town - kula ya shida, nauli shida hata kuwa na demu akili haimtumi.
 
Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.

Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview
Hapo kwenye kwenda dodoma kwa interview kila mwezi kuna namna umegusa wengi 😀😀😀
 
Back
Top Bottom