Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Im I he,,is he me,,are we he,,are u he,,is he u,, u're he,,!!!!!!!?????????
 
Ilq Vijana wenzangu,Kuna umuhimu na raha ya Aina yake kuwa na familia mapemq,walau by 30 uwe tayari na majukumu ya familia!!Kuna ka utulivu fulani ka nafsi hata kama mambo mqgumu ila unapata msukumo wa kupambana na Baraka pia hufunguka!!
 
Kwa hiyo nyege zako ndio zilikufanya ukaoa ?
 
Mgonjwa huyo
 
Mimi babu yangu alioa na miaka 17 na. Mpaka anatoboa 23 alikuwa na watoto zaidi ya 6.

So inategmea MTU na MTU

Ila babu yangu mzaa Baba yeye kaoa 30 + na kafariki akiwa tayari ni multimillionaire.



Maisha ni vile umeamua kuyatazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…