Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nyege zako ndio zilikufanya ukaoa ?sijakurupuka, kutoingia kwenye ndoa kabisa sio jambo baya kama hufanyi tendo la ndoa
ila kutoingia kwenye ndoa na huku huwezi kujizuia nyegezz hivyo unashiriki tendo la ndoa kwa njia ya zinaa ni jambo baya sana unafanya. matokeo ya uzinzi ni mabaya kuliko matokeo ya kuingia kwenye ndoa mapema
Mgonjwa huyoMkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.
Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview
Shangaa wewe sasa. Kiufupi home bado tupo sanaEe ndiyo. Tutoke tuende wapi sasa
Kila jambo na wakati wakeMgonjwa huyo