Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Im I he,,is he me,,are we he,,are u he,,is he u,, u're he,,!!!!!!!?????????
 
Ilq Vijana wenzangu,Kuna umuhimu na raha ya Aina yake kuwa na familia mapemq,walau by 30 uwe tayari na majukumu ya familia!!Kuna ka utulivu fulani ka nafsi hata kama mambo mqgumu ila unapata msukumo wa kupambana na Baraka pia hufunguka!!
 
sijakurupuka, kutoingia kwenye ndoa kabisa sio jambo baya kama hufanyi tendo la ndoa

ila kutoingia kwenye ndoa na huku huwezi kujizuia nyegezz hivyo unashiriki tendo la ndoa kwa njia ya zinaa ni jambo baya sana unafanya. matokeo ya uzinzi ni mabaya kuliko matokeo ya kuingia kwenye ndoa mapema
Kwa hiyo nyege zako ndio zilikufanya ukaoa ?
 
Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.

Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview
Mgonjwa huyo
 
Mimi babu yangu alioa na miaka 17 na. Mpaka anatoboa 23 alikuwa na watoto zaidi ya 6.

So inategmea MTU na MTU

Ila babu yangu mzaa Baba yeye kaoa 30 + na kafariki akiwa tayari ni multimillionaire.



Maisha ni vile umeamua kuyatazama.
 
Back
Top Bottom