900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
atakuwa na msiba mkubwa huko alikoHivi Musiba atakuwa na hali gani?Wote aliowachambua na kusema maovu yao wamerudi serikalini. Kuanzia January,Nape na sasa Kinana bila kumsahau Membe.
Kwa sababu CCM wakristo ni wengi kuliko CCM Muslim.Hhahahaha
Yaan Mwenyekiti akiwa Samia, Makamu Kinana na Katibu Chongolo inakuwa udini
Ila ikiwa Mwenyekiti John, Makamu Philip na Katibu Bashiru inakuwa hakuna udini
Mwenyekiti Benjamin Mkapa
Makamu mwenyekiti John Malecela
Katibu Mkuu Philip Mangula
Katibu Mwenezi John Chiligati
Lete data tutakujibu kwa data
Lete hoja tutakujibu kwa hoja
Lete kejeli tutakujibu kwa kejeli
Lete nyodo tutakujibu kwa nyodo
Lete matusi tutakupuuzia
Ngoja tuendelee kusubiria tuone matukio gani yatatokea.Nadhani mliidharau comment yangu hii kwenye uzi fulani hivi kwakuwa nimeongea mimi ngumbaru nadhani tunaanza kuona sasa...mpak April safu ya 2025 itakuwa tayari imekamilika kuanzia ngazi za matawi mpaka mikoani.
Tunakaa na viongozi wa ngazi za juu wa chama wa mikoa kwenye vijiwe vya kahawa lakini kila dakika moja wenzetu wanapokea simu kutoka kwa mwenyekiti wa taifa ambaye ni dhahiri shairi madaraka yamemnogea na kashahisi raia wanaweza kumkataa so nguvu kubwa lazima atumie
View attachment 2170597
My hiyo ni mbinu ya Born town!!!?ILI kukwepa mishale ya new CEO!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ninakuunga mkono. Niko nyuma yako go go mkuuKufuatana na mawazo ya watu wengi mtandaoni kuna GAP kwenye uongozi Tanzania.Ngoja nianze Mikakati ya kisiasa Mungu akisaidia siku mmoja nije niondoe hili gap.
Hongera sana mzee mangula ukapumzike tu10 years
as vice chairman, si haba.
Hayo ya kijanja au kishamba tunaongea sisi ambao hatujaingia kwenye 18 zao ila ukishughulikiwa umeshughulikiwa tu, Ulimboka hawezi kusema alishughulikiwa kijanja au Lissu aseme ameshughulikiwa kishamba.
Na kiuhalisia hatujawahi kuwa na uchungu na hii nchi, huwa tunapiga kelele za kuchangamsha baraza tu.
Magufuli kama asingekata mirija ya watu basi hata kusingekuwa na kelele sijui dikteta wala nini.
Very true 200%So long as ni Ma-CCM wakafie mbele... Wacha wafu wazike wafu wenzao
Ila mama akifa kabla ya 2025,basi Mpango anakuja kurudisha CCM ya Magufuli.Ya Mungu mengi
Daniel Chongolo alikuwa Msaidizi wa Nape kipindi cha Kikwete.Mwenyekiti - samia suluhu hassan
makamu mwenyekiti/bara - Abdulrahmani kinana
makamu m/kiti visiwani - hussein ally mwinyi/ally mohamed shain
Katibu mwenezi shaka hamdu shaka
Katibu mkuu - Daniel chongolo
Naibu katibu mkuu Alhaji ?????
Atarudishaje huku yeye mwenyewe alipata Uwaziri wa fedha kwa pendekezo la Kikwete na amekuwa Makamu kwa pendekezo LA Kikwete.the only way Ku survive huu mnyororo wa Kikwete ni kuchagua upinzani au kutokee upinzani ndani ya CCM vinginevyo sahau Mpango kuwa against Kikwete.Ila mama akifa kabla ya 2025,basi Mpango anakuja kurudisha CCM ya Magufuli.
Mbona Rais keshasema mateja wanarudi kwa speed. Waliofungwa wanatoka kuendeleza bnessTutegemeee Twiga, Tembo, Simba, Faru, Zebra na wanyama wengine kupungua, madawa ya kulevywa mateja / vibaka kuongezeka mtaani, rushwa kutamalaki na mali za CCM / umma kubinafshishwa tena kwa kina Rostam na wenzake.
SSH na JK wanaupiga mwingi.
Hao akina Kitima na maaskofu baadhi yao wajinga tu! Utawasikia wanasfia saizi na kuongea ngonjera sisi majitu ya bara yanaukabila na ujinga! Ukiwauliza wengi waliomchukia Magufuli wamejaa ukabila na ubinafsi tena wengi ni sisi wakristo ndo tuliongoza kumchukia! Ngoja sasa wanaojua kutafuna nchi wafanye yao!Siunakumbuka hata father kitima alivyokuwa anamshambulia Magufuli halafu Leo Yuko kimya utafhani Mambo yako sawa kwa Sasa yaani hovyo kabisa
Mi mwenyewe mgeniKwani kuna shida gani wakifungua maduka?