Huyu huyu Kinana na tuhuma zote hizo,kwani watu wengine safi hakuna?Watanzania bwana,dah!Huku Tony Blair mshauri,kazi kweli kweli.Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
View attachment 2170662
hawezi! halafu the next president ni simbachaweneIla mama akifa kabla ya 2025,basi Mpango anakuja kurudisha CCM ya Magufuli.
Kwa hiyo ni kuwa hatua za kutesa kwa zamu zinachukuliwa kwa makusudi? at its peak level!
Ndio nakwambia kama Jiwe asingekuwa anakata mirija ya watu basi usiongeona kelele za watu kuona Jiwe ni muovu, hayo ya yeye na Makonda watu hawana uchungu nayo kama asingekata mirija.Mimi sikuwa na mrija wowote ila najua kuwa alikuwa kiongozi muovu. Alikata mirija ya aliowachukia, na yeye na genge lake la akina Makonda walikuwa wanaingiza macontainer yao watakavyo bila kulipa kodi.
Wewe ombea tu haujaingia kwenye 18 zao basi hayo mengine ni kufurahisha baraza tu.Unadhani hatujui tofauti ya mienendo yao?
Kitu unatakiwa ujue hao wavaa cobat hawajawahi iacha hii nchi salamaWala pork kaeni pembeni.
Mama ushungi ajue 2025 hana nafasi tena kea hiyo safuKikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula. Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
I wish wangekusikilizaSasa Chadema huu ndo muda wenu wa kushine kama mtakuwa na akili. Nendeni kwa wananchi mjijenge. Maana ukweli sasa hii iliyopo ni serikali ya kufavor matajiri ambao ni minority hapa Tanzania.
Tatizo nani wa kukiua. Si unaona Mwenyekiti baada ya kutoka rumande hata kudai katiba amesahauUnajua watu wa ccm huwa nawashangaa, 2015 walisema ili kunusuru chama ilibidi wampitishe jiwe. Bila hivyo maji yalikua ya shingo
Sasa hivi wanasema Bora tukirudishe kwa wenyewe, ambao walikiri 2015 wangeshindwa.
Ila CCM inapaswa kufa kifo matata sana
Muda wake umefikaMangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
View attachment 2170662
Kaachia mwenyewe Mzee unafikili ni rahisi kumng'oa yule Mzee hapo Bila taratibu za chamaAmeachia au kaachishwa Kwa kuwekwa pembeni