Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba


Eti nani alimtoa nani wapi?
 
Sasa jina ulotaja haponi mbunge?

Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia nini
Mkuu shuleni mnaenda kusomea ujinga? ubunge si anateuliwa tu au hujua muheshimiwa anaweza kuteua wabunge? huyo mpango aliwekwaje kwa mara ya kwanza?
 
Uteuzi wa Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha....
Wewe ni mmoja wapo kati ta mliopewa tenda ya kutuchafulia mawe yetu nchi nzima kwa kupiga machata "Mwigulu rais 2015" sasa umelamba tenda nyingine.

Mwambie akomae na jimbo lake na timu yake mawenzi market, kashindwa kuiongoza sgd utd itakuwa wizara yetu ya michuzi!
 
Kwenye hili la waziri wa fedha tumwachie Raisi ni nyeti mno sio swala la kupiga debe!!!! nani ashike kuna mafaili confidentials mengi yanatakiwa kupitiwa na kuangaliwa Ubunge ok ni kitu kidogo inaangaliwa tu kuwa chama kitashinda au la ila uwaziri wa fedha ni eneo nyeti sio political campain
 
Ni ujinga huwezi kumpangia rais mtu wa kufanya nae kazi.
Mbona kamteua Mpango wakati ndiye aliyekua waziri wa fedha na ni kipindi ambacho hakukua na uwazi wa matumizi ya fedha za umma,
Huko chato bajeti yake iko wapi, midege na huko ruangwa hadi barabara zina mataa.
Achenni unafiki
Uteuzi wa Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha...
 
Eti nani kimei? Huyu huyu aliyeifanya benki ya CRDB kuwa ya wachaga,hafai hata kidogo, mwanamama Ashatu Kijaji anafaa sana kuongoza hiyo wizara,ikishindikana atafutwe mtu mmoja kutoka Zanzibar apewe wizara ya fedha.Hawa akina mwigulu,kimei hawafai hata kidogo
 
Mkuu shuleni mnaenda kusomea ujinga? ubunge si anateuliwa tu au hujua muheshimiwa anaweza kuteua wabunge? huyo mpango aliwekwaje kwa mara ya kwanza?
Nyie ndio mnasomea ujinga

Tatizo letu watanzania ni much know sana.

Hilo nalifahamu huwa kuna viti vya Raisi..Ubunge wa kuteuliwa.

Sasa huyo Bw mdogo ni Mbunge?...au wewe ulitaka ateuliwe then apewe mikoba?

Kila kitu ni protocol boss..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…