Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Waziri wa fedha atakuwa polepole au askofu gwajima mtumishi wa madhabahuni
 
Unaelekezwa bado unakaza skeleton kuelewa. Kasali uko kazi zimekushinda
Sijajua hata kama unafahamu mwanzo wa Mjadala huu!

Ok..Unadhani kuna wakunielekeza humu?

Mkuu mimi nafahamu kuwa kuna viti maalumu vya Mh Raisi vya ubunge wa Kuteuliwa.

Sasa yeye alitaja jina la mtu huko eti apewe Wizara ya Fedha...nikamuuliza huyo aliyemtaja ni Mbunge?

Ndio kakaza kichwa mpaka tumefikishana humu.

Cha muhimu angenijibu kuwa may be Raisi amteue then ampe Wizara husika...lakini upande wa pili bado ni changamoto kwa sabbu kila kitu ni protocol..haiwezekani apewe nafasi kwa haraka haraka bila ya kuevaluate + analysis ya mhusika.

Sasa wengine humu yanajifanya much know.
 
Wizara ya fedha apewe Daudi Albert Bashite.
Huyu bwege hela za u RC tu wa jiji alipata kichaa na kuanza kujisifia hamna mtu anaekula raha kama yeye 😁😁😁 hapo ni vile vihongo vya million 100-300! Kubadilisha Mipira kadri anavyojiskia.

Sasa mumpe wizara ya Trillions sindio atanunua private jet kabisa ya waziri😁 kisha aanze kutukana wazee
 
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
Mwigulu hata Bungeni tu amepwaya.
Huyo sio kiongozi na wala kazi hawezi.

Anayo elimu ya vitabuni, kukariri basi.
Kitabia hafai nafasi yoyote ya uongozi, hii amekwishaidhihirisha mara nyingi sana.
 
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.

Mtu nayefaa kumrithi Mpango wizara ya fedha ni Prof Mkenda; anauzoefu wa hiyo Wizara na ni muadilifu. Kimei hafai kuwa Waziri wa fedha kwani record yake pale CRDB ilikuwa chafu kwa RUSHWA YA KUWAPA MIKOBO ILIYOKUJA KUWA CHEFU CHEFU WAKINA MANJI etc. Akae na hue ubunge wake msimuweke karibu ya fedha.
 
Back
Top Bottom