Pilitoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 1,197
- 507
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli bhanaMkabila sana na sio muadilifu!! Mtakuja kumfunga kama alivyofungwa Mramba!
Prof Mussa Assad ANATOSHA wizara ya Fedha na Mipango
Mwigulu hafai ni mpigaji tu huyoUteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
Mnaendelea kubeti tu mlijua kama mpango atakua makamo!
Mwigulu is obviously a criminal suspect, he is being accused of having masterminded the kidnappings and torture of some people whose views were perceived to be at variance with the then government of the retired president Kikwete.Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
Nyie ndo mlikuwa mnachora madaraja na majabali nchi nzima eti Mwigulu Rais 2015. Hakuna mtu atampa wizara nyeti huyo mtesaji na muuajiUteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
Wewe ndo unapiga ramli..ulijua mungu wako ataendelea kuwa hai mumuongezee muda wa kutawala. Mungu akamfyekelea mbaliWAACHE WAPIGE RAMLI!!! HATA KIKWETE NA JINA LAKE LA NCHIMBI RAMLI YAKE HAIKUFAA!!! Samia Suluhu HASSAN SI MCHEZO!! MTAISOMA NAMBA.
Yaani huyuhuyu Lameck Madelu aliyefoji jina la Mwigulu Nchemba awe waziri wa fedha s ha utani basi .Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
Hujui unaandika nini na kwa nani!!Wewe ndo unapiga ramli..ulijua mungu wako ataendelea kuwa hai mumuongezee muda wa kutawala. Mungu akamfyekelea mbali
Kwani we nani we punda wewe..! Unataka kumtishia nani? Yule alikuwa anatishia watu maisha mliekuwa mnamtegemea yupo futi 6 chiniHujui unaandika nini na kwa nani!!
very trueKimei na Mwigulu wote hawafai kuwa Mawaziri wa Fedha.
CRDB si ni private entity mkuu? Kimei alistaafu mwenyewe, Nsekela ndio akapigiw kura na Mkutano Mkuu wa wanahisa wa CRDB, hakuteuliwa na MagufuliKimei hawez wekwa pale hata sku1...mzee baba alimtoa pale na kumweka nsekela kwa sabab maalum....kwahyo sahau kuhusu kimei....hata huyo mwigulu hawez pewa asimamie pesa...hapo anahitajika mwenye hofu ya mungu na mwenye historia safi
Mkimweka kimei ni kina mramba walewale
hahahahaaaaaa nimecheka mpaka basiKwani we nani we punda wewe..! Unataka kumtishia nani? Yule alikuwa anatishia watu maisha mliekuwa mnamtegemea yupo futi 6 chini
absolutely aiseeKimei hawez wekwa pale hata sku1...mzee baba alimtoa pale na kumweka nsekela kwa sabab maalum....kwahyo sahau kuhusu kimei....hata huyo mwigulu hawez pewa asimamie pesa...hapo anahitajika mwenye hofu ya mungu na mwenye historia safi
Mkimweka kimei ni kina mramba walewale
hakuna kabisa. hakuna kubahatisha pale wala kujaribu. unaweza kuangusha nchi hivi hivi kwa kuweka vinyago paleWizara ya Fedha iongozwe na Rais tu tujue moja maana hata wakati wa JPM Dr. Mpango alikuwepokuw.
Come to think of it, hii teuzi ya Mpango huenda kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia. Nadhani kwa Waziri wa Fedha tunaweza kuwekewa outsider (mtu kama Dorothy Gwajima) asiye na clue ili wamcontrol kwa remote
Kimei alifikia muda wa kustaafuKimei hawez wekwa pale hata sku1...mzee baba alimtoa pale na kumweka nsekela kwa sabab maalum....kwahyo sahau kuhusu kimei....hata huyo mwigulu hawez pewa asimamie pesa...hapo anahitajika mwenye hofu ya mungu na mwenye historia safi
Mkimweka kimei ni kina mramba walewale