Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Atheists wa jamii ya wapi hao wanaoamini hakuna Mungu?
Wale ambao wenye madai ya kudai kuwa hakuna Mungu au miungu, madai hayo yamejengwa kwenye msingi wa imani. Kama sivyo basi niambie hayo madai ya kusema hakuna Mungu or miungu mmeyajenga kwenye msingi upi au hoja ya msingi yenye kufanya mdai kuwa hakuna God or gods?
 
Sawa ila kumbuka hujathibitisha huyo Mungu yupo
 
Hiyo ni rejection sio imani

Hata wewe unapinga yesu sio Mungu

Kwa mantiki hiyo una imani mbili

Moja ya kuamini Allah na nyingine uliyoipata baada ya kuamini Yesu sio Mungu
 
Hiyo ni rejection sio imani

Hata wewe unapinga yesu sio Mungu

Kwa mantiki hiyo una imani mbili

Moja ya kuamini Allah na nyingine uliyoipata baada ya kuamini Yesu sio Mungu
"Kama sivyo basi niambie hayo madai ya kusema hakuna Mungu or miungu mmeyajenga kwenye msingi upi au hoja ya msingi yenye kufanya mdai kuwa hakuna God or gods ni ipi?"
 
"Kama sivyo basi niambie hayo madai ya kusema hakuna Mungu or miungu mmeyajenga kwenye msingi upi au hoja ya msingi yenye kufanya mdai kuwa hakuna God or gods ni ipi?"
Ni rejection tu
 
Ni rejection tu
Mkuu hapo kuna madai ya kuwa hakuna Mungu wala miungu, kwahiyo sio suala tu la kukataa kuamini uwepo wa Mungu bali mnadai hakuna Mungu wala miungu na huo ndio msimamo wenu ambao nataka kujua msingi wa hayo madai ni upi?
 
Kukiwa kuna madai ya hakuna Mungu ndio inakuwa ni imani?
 
Kukiwa kuna madai ya hakuna Mungu ndio inakuwa ni imani?
Hayo madai yenu yapo kwenye mfumo wa imani ndiyo maana nikasema kama sio imani tu basi eleza msingi wa hayo madai ni upi?
 
Hayo madai yenu yapo kwenye mfumo wa imani ndiyo maana nikasema kama sio imani tu basi eleza msingi wa hayo madai ni upi?
Ni rejection sio imani

Atheism ni ukosefu wa imani, ukosefu wa imani sio aina fulani nyingine ya imani
 
Ni rejection sio imani

Atheism ni ukosefu wa imani, ukosefu wa imani sio aina fulani nyingine ya imani
Mkuu mie nazungumzia hilo dai la kusema hakuna Mungu wala miungu, huo si ukesefu wa imani kwamba hamuamini tu bali mnadai kuwa hakuna Mungu.

Sijui kama unaona tofauti.
 
Mkuu mie nazungumzia hilo dai la kusema hakuna Mungu wala miungu, huo si ukesefu wa imani kwamba hamuamini tu bali mnadai kuwa hakuna Mungu.

Sijui kama unaona tofauti.

Sasa kama unasema tunadai Mungu hayupo kivipi tena uhusishe dai hilo na mfumo wa imani?

Dai la kusema hakuna Mungu hiyo ni rejection ya dai linalosema kuna Mungu ambaye hajathibitishwa
 
Kwanini haiingii wakati iko based kwenye imani?

Hujui kwamba kuweka alarm ikuamshe asubuhi huku ukiamini kuwa hapo katikati hutapatwa na mauti bali utaamka salama ni imani?
Hii sio sahihi. Kwa sababu kuamka salama hakuhusiani na imani; na hali hiyo haiwezi kuwa ndio imani.
 
Kama lugha ya kiswahili bado ni changa, basi hoja yako ya kusema hakuna imani zaidi yamoja itakuwa invalid
Kwa namna gani uchanga wa lugha ya kiswahili unafanya hoja ya kwamba "hakuna imani zaidi ya moja kuwa invalid"?
 
Hii sio sahihi. Kwa sababu kuamka salama hakuhusiani na imani; na hali hiyo haiwezi kuwa ndio imani.
Kwanini kusihusihe na imani?

Unaweka katika kundi gani hicho kitendo?
 
Kwa namna gani uchanga wa lugha ya kiswahili unafanya hoja ya kwamba "hakuna imani zaidi ya moja kuwa invalid"?
Interpretation, kutumia neno moja kwenye sentensi zinazotofautina kimaana

Nina imani kesho yanga itagungwa, na kwa hivyo naibetia timu pinzani

Hata mtoto unapomrusha juu na kumdaka halafu akawa nacheka, ile pia ni imani kuwa ana amini huto mdondosha

Kuamini taarifa ya mamlaka ya hewa kuwa kesho kutakuwa na mvua kubwa halafu asubuhi nikaamka kwenda kazini nikiwa nimebeba mwavuli, hiyo ni imani kuwa nimeamini walichokisema mamlaka ya hewa kitatokea
 
Nafikiri hujaelewa maana ya imani. Mifano yote uliyoitoa haiendani na maana ya imani.

Kwa mfano, kwa namna gani taarifa ya mamlaka ya hali hewa iwe imani? Imani haishughuliki na mambo kama hayo ulioyatolea mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…