Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Leo sikuruhusu ukimbie hoja hii, zipo nitazo kuruhusu lakini sio hii

Kwasababu umekuwa na kawaida ya kuweka Quote za Quran na tunapokuomba uthibitishe ukweli wa hizo verse umekuwa ukigeuza kibao na kutaka sisi ndio tuthibitishe Allah hayupo

Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?

Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo

Kwa hiyo unasemaje?

Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
Sijawahi kukimbia hoja na hapo hakuna hoja ndiyo maana nakupuuza. Suala la Nothing nilishalimaliza na nilikuuliza swal ambalo hukulijibu juu kipi hutangulia kati ya kuwepo na kutokuwepo ?

Nikakwambia unajuaje jambo ambalo ni nothing ? Wakati halipo ? Nikakwambia nothing kwenye lugha humaamisha kisicho kitu yaani hamna kwa kutanguliwa na kuwepo kwa hicho kitu.

Sasa jaribu kupitia mifano hii hapa chini :

Is anything happening at your school today?

There is nothing happening at school. Today is a holiday.

Sasa maana yako ya "Nothing" umeipata wapi ? Naomba ututungie sentensi japo moja tu.
 
Kumbe unaweza kujua uwongo pasipo hata kuhitaji kujua lugha ya asili au kitabu cha asili

Kwa mantiki hiyo kumbe hoja ya wewe kunirudisha nikasome kitabu ambacho kimeandikwa kwa lugha ya kiasili ya kiarabu ni hoja ya kupuuza tu

Nimesha puuza sitegemei kuona ukirudia rudia hapa tena
Kazi yangu nimemaliza.
 
Sasa inakuwaje unajengea hoja jambi ambalo haijulikani hakika yake ?
Mimi ndio niliyekuambia habari za upotevu, nilanza na ile aya iliyoliwa na mbuzi

Baada ya hapo navyo muelezea Ibn nikakuambia official content ilipotea na vilivyoweza kupatikana ni vipisi vipisi tu ambavyo bado vime miss taarifa

Sasa kuhoji kilichomo ndani ya hicho kitu kilichopotea ni ujuha, kwasababu kinhefahamika contet yake kingeandikwa upya ikabakia stori tua kuwa ilipotea ila kutikana na watu kuweza kuhifadhi kichwani wakaweza kuiandika upya

Kama Quran ilivyo kusanywa, ni ilikusanywa kwasababu kulikuwa na backup, lakini pamoja na hayo bado kuna verse ambazo hazikupatikana na ndio sababu nikakupa ile Quote ikionesha upotevu
 
Kazi yangu nimemaliza.
Kuhusu lugha ya asili ni kweli umemaliza

Ila hii hujajibu

Umekuwa na kawaida ya kuweka madai na kumtaka opponent azi disprove na pale napokuambia kua mwenye kuleta madai positive ndio mwenye jukumu la kuthibitisha umekuwa ukipinga

Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?

Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo

Kwa hiyo unasemaje?

Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
 
Mimi ndio niliyekuambia habari za upotevu, nilanza na ile aya iliyoliwa na mbuzi

Baada ya hapo navyo muelezea Ibn nikakuambia official content ilipotea na vilivyoweza kupatikana ni vipisi vipisi tu ambavyo bado vime miss taarifa

Sasa kuhoji kilichomo ndani ya hicho kitu kilichopotea ni ujuha, kwasababu kinhefahamika contet yake kingeandikwa upya ikabakia stori tua kuwa ilipotea ila kutikana na watu kuweza kuhifadhi kichwani wakaweza kuiandika upya

Kama Quran ilivyo kusanywa, ni ilikusanywa kwasababu kulikuwa na backup, lakini pamoja na hayo bado kuna verse ambazo hazikupatikana na ndio sababu nikakupa ile Quote ikionesha upotevu
Poa.
 
Kuhusu lugha ya asili ni kweli umemaliza

Ila hii hujajibu

Umekuwa na kawaida ya kuweka madai na kumtaka opponent azi disprove na pale napokuambia kua mwenye kuleta madai positive ndio mwenye jukumu la kuthibitisha umekuwa ukipinga

Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?

Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo

Kwa hiyo unasemaje?

Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
Poa.
 
Umekuwa na kawaida ya kuweka madai na kumtaka opponent azi disprove na pale napokuambia kua mwenye kuleta madai positive ndio mwenye jukumu la kuthibitisha umekuwa ukipinga

Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?

Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo

Kwa hiyo unasemaje?

Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
 
Umekuwa na kawaida ya kuweka madai na kumtaka opponent azi disprove na pale napokuambia kua mwenye kuleta madai positive ndio mwenye jukumu la kuthibitisha umekuwa ukipinga

Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?

Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo

Kwa hiyo unasemaje?

Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
Poa.
 
Niko poa ndio ila naomba ujibu hoja zangu naona unatumia muda mwingi kunijulia hali

Umekuwa na kawaida ya kuweka madai na kumtaka opponent azi disprove na pale napokuambia kua mwenye kuleta madai positive ndio mwenye jukumu la kuthibitisha umekuwa ukipinga

Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?

Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo

Kwa hiyo unasemaje?

Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
 
Atheists kwani ni imani?

Kwanini zitofautiane wakati wote hao wanatumia system moja (imani)?
Kwani kipi kinafanya ufikiri imani hazitakiwi kutofautiana kwamba anachoamini Scars ndio na Tz mbongo aamini hicho hicho na hivyo hivyo?

Kuhusu atheists kwenye uhalisia wao wanaamini hakuna Mungu.
 
Nimeuliza katika lengo la kujua, nilikuwa nafikiri kwasababu imani hiyo inahusu Mungu kumbe dai lolote la kuhusisha Mungu kwa imani basi lazima liwe kweli

Ila tangu umeelezea kua utofauti upo kumbe nishajua kua imani sio njia thabiti maana inauwezo wa kukupa majibu ya uwongo

Sasa kwa mtu ambaye anataka uthibitisho kumbe njia hii kwasababu haiambanani na uchunguzi itakuwa ngumu kumthibitishia, au una pendekezo lingine la mbadala linaloweza kutumika kama uthibitisho ukiachana na imani?
 
MUNGU YUPO , kuwepo kwa Mungu hakuthibitishi kwa maandiko ya dini yoyote ila maandiko yamemtaja Mungu, wengi kwa kuamgalia maandiko wamekuja na hoja pinzani kwani vitabu hivyo haviwezi kujibu hoja kwani vipo kuelezea hasa maisha ya mwanadamu na sio kuleta majibu ukitaka kuthibitisha Mungu kwa maandiko ya dini utakwama

Mungu ni kiswahili lakini neno halisi ni muumbaji
Kwa kizungu the creator kwa maana mtengenezaji wa ulimwengu

Kwa formula ya kisayansi hakuna kitu kinachoweza kujitengeneza chenyewe lazima awepo aliye kibuni na kuiunda
Wanadamu hawawezi kutokea tu ghafla ulimwengu umepangika kwa hesabu kamili
Wanasayansi wamechunguza mambo mengi na kugundua yamefanyika kwa hesabu kamili hivyo inatoa uthibitisho kuwa alikuwepo aliyefanya kazi hii kwa umakini zaidi yani mtengenezaji (ndio watu wanamuita Mungu)

Bila hata dini hizi zetu ambazo nyingi zimekuja huku kutoka kwa wazungu na waarabu ma Babu zetu alitambua Mungu yupo ndio wakampa jina
Karibu kila kabila lina jina la Mungu kwa rugha yake hata waleta dini waliendelea kutumia majina
Tofauti tu zizopo ni namna na taratibu za kumwabudu ndio zilitofautiana na hasa hapa ndio huwa msingi wa kitu kinaitwa imani

Imani katika dini kwa rugha nyepesi ni mtazamo wa mtu au kikundi cha watu juu ya taratibu na kanuni za namna ya kufanya katika kuabudu

Mungu yupo kwa sababu yupo na sio yupo kwa imani ,imani ni mlango wa kuwasiliana naye
Hata kama hakuna wa kumwabudu bado atabaki kuwa muumbaji
Mungu ni mkuu sana binadamu ni kama sisimizi tu mbele zake uamini usiamini kwake huwezi kumuongezea chochote

Wanadamu wanamhitaji Mungu kwa faida yako na sio Mungu kumhitaji binadamu kwani akitaka kwa sekunde moja anaweza kufuta kila kiumbe akaanza upya kama wewe unavyo weza kubomoa majengo yako ukajenga upya
Mungu yupo na anatisha kama nini huyu aliyemuumba binadamu kwa ufahamu wa hali ya juu sana ukiusoma mwili wa binadamu kuna maajabu makubwa sana jicho tu la binadamu ni sayansi ya hali ja juu bado mfumo ya moyo sensor za mwili mfumo wa ulinzi ,figo nk

Wengi kwa sababu ya kuvimbewa tu ndio uja na hoja ya hakuna Mungu ,
Wenye akili walifikili na kuja na majibu ya kwamba ni "mpumbavu tu usema moyoni hakuna Mungu"

Kama ulivyo mfumo wa mwili unafanya kazi Mungu alisha maliza mambo yote kwa sasa yupo na mengine haya unayo yaona ni kanuni tu zinatenda kazi ukiamini utaona nguvu za Mungu usipoamini utaona nguvu za shetani mambo yote yanaendelea na kubadilika kwa kwanini yeye alisha maliza hana kazi nyingine ya kufanya kwetu kama ilivyo majira ya mvua kupanda na kuvuna ndiyo yalivyo maisha yote alipanga na kumaliza
 
Back
Top Bottom