Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinatofautiana kama ilivyo kama atheists nao hutofautiana.Namaanisha katika hizo imani za kuamini Mungu zinatofautina kati ya imani moja na nyingine ama zote ziko sawa?
Sijawahi kukimbia hoja na hapo hakuna hoja ndiyo maana nakupuuza. Suala la Nothing nilishalimaliza na nilikuuliza swal ambalo hukulijibu juu kipi hutangulia kati ya kuwepo na kutokuwepo ?Leo sikuruhusu ukimbie hoja hii, zipo nitazo kuruhusu lakini sio hii
Kwasababu umekuwa na kawaida ya kuweka Quote za Quran na tunapokuomba uthibitishe ukweli wa hizo verse umekuwa ukigeuza kibao na kutaka sisi ndio tuthibitishe Allah hayupo
Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?
Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo
Kwa hiyo unasemaje?
Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
Kazi yangu nimemaliza.As long as umenijibu hapo juu, basi nimeridhika na huu mjadala kuhusu hii mada naufunga
Sitegemei tena kukuona ukianzisha hoja hii
Kazi yangu nimemaliza.Kumbe unaweza kujua uwongo pasipo hata kuhitaji kujua lugha ya asili au kitabu cha asili
Kwa mantiki hiyo kumbe hoja ya wewe kunirudisha nikasome kitabu ambacho kimeandikwa kwa lugha ya kiasili ya kiarabu ni hoja ya kupuuza tu
Nimesha puuza sitegemei kuona ukirudia rudia hapa tena
Mimi ndio niliyekuambia habari za upotevu, nilanza na ile aya iliyoliwa na mbuziSasa inakuwaje unajengea hoja jambi ambalo haijulikani hakika yake ?
Kuhusu lugha ya asili ni kweli umemalizaKazi yangu nimemaliza.
Poa.Mimi ndio niliyekuambia habari za upotevu, nilanza na ile aya iliyoliwa na mbuzi
Baada ya hapo navyo muelezea Ibn nikakuambia official content ilipotea na vilivyoweza kupatikana ni vipisi vipisi tu ambavyo bado vime miss taarifa
Sasa kuhoji kilichomo ndani ya hicho kitu kilichopotea ni ujuha, kwasababu kinhefahamika contet yake kingeandikwa upya ikabakia stori tua kuwa ilipotea ila kutikana na watu kuweza kuhifadhi kichwani wakaweza kuiandika upya
Kama Quran ilivyo kusanywa, ni ilikusanywa kwasababu kulikuwa na backup, lakini pamoja na hayo bado kuna verse ambazo hazikupatikana na ndio sababu nikakupa ile Quote ikionesha upotevu
Poa.Kuhusu lugha ya asili ni kweli umemaliza
Ila hii hujajibu
Umekuwa na kawaida ya kuweka madai na kumtaka opponent azi disprove na pale napokuambia kua mwenye kuleta madai positive ndio mwenye jukumu la kuthibitisha umekuwa ukipinga
Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?
Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo
Kwa hiyo unasemaje?
Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
Poa.Ipo ambayo hujaimaliza nimekuwekea post ya juu hapo
Poa.
Poa.
Poa.
Poa.Umekuwa na kawaida ya kuweka madai na kumtaka opponent azi disprove na pale napokuambia kua mwenye kuleta madai positive ndio mwenye jukumu la kuthibitisha umekuwa ukipinga
Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?
Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo
Kwa hiyo unasemaje?
Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
Niko poa ndio ila naomba ujibu hoja zangu naona unatumia muda mwingi kunijulia haliPoa.
Kwani kipi kinafanya ufikiri imani hazitakiwi kutofautiana kwamba anachoamini Scars ndio na Tz mbongo aamini hicho hicho na hivyo hivyo?Atheists kwani ni imani?
Kwanini zitofautiane wakati wote hao wanatumia system moja (imani)?
Nimeuliza katika lengo la kujua, nilikuwa nafikiri kwasababu imani hiyo inahusu Mungu kumbe dai lolote la kuhusisha Mungu kwa imani basi lazima liwe kweliKwani kipi kinafanya ufikiri imani hazitakiwi kutofautiana kwamba anachoamini Scars ndio na Tz mbongo aamini hicho hicho na hivyo hivyo?
Kuhusu atheists kwenye uhalisia wao wanaamini hakuna Mungu.