Namna za ukosoaji ziko nyingi na si lazima kuhoji kwa mtindo wa lugha sehemu amabayo hakuna haja hiyo.Nakuonaga unakosoa biblia mara kibao humu, lakini ni lini hiyo ambayo hoja zako zili base kwenye lugha ya asili ya biblia?
Nikisema zile critics zako zoote kwa ukristo dhidi ya biblia hazijaweza kuwa na mashiko kwasababu hukutumia lugha ya asili ya biblia, nitakuwa sahihi?
Mimi marejeo yangu kuhusu Ukristo narejea katika vitabu vya wenye marejeo, ili kuepuka kukosea.
Utakuwa sahihi endepo ukikuta nilichokiandika kipo tofuati na kile kilichopo kwenye asili, sasa wewe umeweka mambo ambayo huyakuti kwenye kitabu cha asili.