Qur'aan haijamiss hata herufi moja achilia mbali aya, nachokubali mimi ni kuwa kuna aya zilifutwa matamshi ila hukumu inafanya kazi kama aya ya kumpiga mawe mpaka kufa mzinifu wa kiume na wa kike ambao wako kwenye ndoa, na zipo zilizofutwa kabisa ambazo hazisomwi kabisa.Ngoja kwanza hapo hapo
Kumbe unakubaliana kuwa Quran ime miss verse ambazo zilitakiwa kuwepo ila utata uko kwenye idadi sio?
Umeomba Quote haya hii hapa
View attachment 2145387
Lakini kuhusu maelezo hayo hiyo hadithi ni dhaifu (weak) sababu kwenye hiyo chain kuna mtu dhaifu aitwae "Abdullah Ibn Lah'ah, lakini vile masimulizi hayo yamepingana na masimulizi ya wapokezi sahihi na ambayo tunayakuta katika vitabu vya Imamu Suyuti ad-Durr al-Manthoor (juzuu ya 5, uk. 180) na al-Itqaan (juzuu ya 2, uk. 25) kwamba kipindi cha Mtume wa Allah (amani ya Allah iwe juu yake) Surat al-Ahzaab ilikuwa na aya 200 , kisha ikapunguzwa urefu wake ikawa kama ilivyo sasa hivi, Lakini mapokezi sahihi tunayapata kwa Ibn Hibbaan katika Sahihi yake (10/273) na al-Haakim katika Mustadrak yake (2/450), kadhalika kutoma kwa Zirr kutoka kwa Ubayy ibn Ka‘b, ambaye amesema : Surat al-Ahzaab ilikuwa sawa kwa urefu na surat Surat al-Baqarah (ambayo hii ina aya 286).