Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #361
"Aisha said: During the time of the Prophet (s) two hundred verses ofNataka uniwekee hiyo nukuu inayo taja aya 200.
Hili jambo liko wazi sana na Imamu Suyuto ameliezea pia. Kama ushawahi kusikia ishu ya Msahafu wa Swahaba Ubay Ibn Ka'ab, huo ulikuwa na sura mbili moja iliitwa Khal na Hafd, wengine wanasema hizo hazikuwa sura bali zilikuwa dua ambazo zilikuwa zinasomwa kwenye Qunut na mtume alizifuta kipindi cha uhai wake. Rejea kitabu Al-Itiqaan cha Imamu Suyuti katika mlango wa Nasikh wa al-Mansukh.
the chapter l-Ahzab were recited but when compiling the Quran `Uthman was only able to
collect what now exists."