tukutengee na kiwanja masaki kabisaSisi pioneers tunasema kwamba tunahold itapaa mpaka ipite bitcoin. tunasema kwamba hii ni revolutionary and it is not like any other altcoin. Tunasema kwanza hakuna coin imewahi kuanza na thamani ya $2 hivyo hii ni ya kipekee.
Ngoja kidogo mtaanza kuniita boss
saaaahv ukiongea chochote unapigwa banHaujawafikia tu kwenye magroup yao. Utashangaa haswaa
Grupu letu watu mpk wanatukanana sasa only admin tu...saaaahv ukiongea chochote unapigwa ban
aaah mabilionea wavivu wanatukana tena badala ya kula penshenGrupu letu watu mpk wanatukanana sasa only admin tu...
Una Elimu nzuri lkn imechanganyika na uchafu mwingi pia umeomgea megi sana juu ya Pi lkn Pi imekuonyesha kidogo sana kuwa yenyewe siyo scam ulisema hta dollar 1 haitafika lkn majibu umepata, na ipo exchange lkn pi haihitaji exchange na exchange zinahaa kufuata terms ili wailist pi na ujue pi ni Utility coin, Acha kwenda shule kukariri Soma uelimike sio ukaririKuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.
McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black software, Kwa wale msiofahamu kuhusu black software, black software ni zile software unazopewa task utengeneze lakini haziko public available, na Wala hauwezi kuwa na ruhusa ya kusema in public ulitengeneza software Gani, mana ukianza tu kuzigusia hata Kwa uchache ktk public unakuwa ni national threat, mwisho wa siku inabidi wakuue.
McAfee alipiga pesa nyingi kwenye crypto sio kwasabu ya kutrade bali kumention coin ambazo watu wanunue na kuuza kwenye Twitter Kwa sasa X, alikuwa anapewa commission yake lakini wamiliki wa coin walipiga pesa ndefu kutoka Kwa raia au followers wa McAfee, mana walikuwa wanacheza na Liquidity.
Kwa wale ambao tunafuatilia Habari ndiomana tunaona black project ambazo wamezifanya USA kwenye Area 51, Kuna wanajeshi zimewasababishia kansa lakini wanachohitaji ni matibabu tu sio fidia, na hata uwaulize walikuwa wanafanya nini Area 51 hawawezi sema kwasabu ni classified project, na hata taarifa za kuthibitisha kwamba walishiriki haziwezi patikana kwasabu ni National interest,
Leo nataka niwaambie wale wote wanaomiliki Pi, kuwa Pi ni scam project haitompa mtu umilionea zaidi ya wamiliki kwasabu wamepiga pesa nyingi kwenye Ads na data mining, wamekusanya KYC na kuuza Kwa makampuni yanayohusika, hususani MeTa na Google.
Pi yaweza kuwa ni black project ya kukusanya taarifa zenu na kuweka malware kwenye simu zenu.
Crypto unahitaji elimu na sio ukurupukaji, ndiomana ma CEO wa Pi ni social engineers sio crypto enthusiast, kaangalie hata chuo alichosoma CEO wa Pi wame mremove kwenye bio ili wajiepushe na scam ambayo kesho mtaishuhudia.
Kama unaelewa crypto mining huwezi sema unamine Pi, ndiomana apps zote za mining play store walishagazitoa.
Watu wanafikiri pi itampiku BTC lakini haiwezi japokuwa BTC Kuna siku itakuwa na anguko kubwa pale watu watakapojifunza maana halisi ya privacy, kwasabu huwezi amini katika privacy na unatumia CeX (centralized exchanges) kama Binance, Coinbase n.k kwasabu ni trackable.
Bitcoin sio anonymous bado ni trackable kwahiyo naamini kizazi kijacho hakitoitumia Bitcoin kwasabu ni zero privacy.
Sasa vipi kuhusu Pi ambayo ni KYC based, haziko open source tujue wanafanya nini Wala Chochote, lakini wajinga wanaikumbatia na hususani wazee wa affiliate,
Niwaambie tu Pi haitofika hata 1$ ila itavanish
Sasa kesho tusubiri kuona crypto millionaire wa Pi Network waje hapa mana ni siku ya Mainnet.
huyu bwege mjuaji kuliko Wataalamu wa blockchain alisema pi haitafika hta $1 Sasa amejionea mwenyewe pi imemjibuSisi pioneers tunasema kwamba tunahold itapaa mpaka ipite bitcoin. tunasema kwamba hii ni revolutionary and it is not like any other altcoin. Tunasema kwanza hakuna coin imewahi kuanza na thamani ya $2 hivyo hii ni ya kipekee.
Ngoja kidogo mtaanza kuniita boss
Ungemine zko ndo ufnye hvyo mbona unampangia matumizi mtu kitu alichopambana yeye kwan ewe hukuiona app ya minningungeuza kiasi kwenye 800 ungetoa 400 na mida ile price ilikua 2$ ungeibuka na 800$ weekend ingeenda murua kabisa...
mimi nina Pi elf 5, Migrated 1375, e.tc.. sijampangia mtu matumizi! tanua ubongo wako uwe unafikiria beyondUngemine zko ndo ufnye hvyo mbona unampangia matumizi mtu kitu alichopambana yeye kwan ewe hukuiona app ya minning
PI bado hawana coin, ukiwa na coin unaongozwa na community! mfano kwenye explorer tunatakiwa tuone kwenye mzunguko zpo ngap ili isije ikatokea imelisitiwa kumbe unazo nyingi ukaja kutuuzia, Pia PI ndo coin pekee inaotaka mtu afanye KYC π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ , yaaani leo hii ili umiliki Bitcoin unatakiwa ufanye KYC kama sio uchizi ni nn huo, pia PI ndo coin pekee yenye matangazo π€£π€£π€£, tukisimama kwenye ukwel PI ni scam na nyie sio wa kwanza kutapeliwa usijipe moyo kisa ina watu wengi ukadhan n legite, mfano PI kwenye playstore ambao ni ushamba mwingine sasa coin unaipata playstore ina downloads mil 50, maaana yake kuna mangombe mil 50 ambao hawaelewi izi crypto znaendaje na nyie sio kwanza ilishakuepo hio inaitwa ONE COIN, ambayo mpaka leo mmiliki anatafutwa, kuna PIP COIN kwa lugha nyepesi nyie mmshindwa kutumia akiliUna Elimu nzuri lkn imechanganyika na uchafu mwingi pia umeomgea megi sana juu ya Pi lkn Pi imekuonyesha kidogo sana kuwa yenyewe siyo scam ulisema hta dollar 1 haitafika lkn majibu umepata, na ipo exchange lkn pi haihitaji exchange na exchange zinahaa kufuata terms ili wailist pi na ujue pi ni Utility coin, Acha kwenda shule kukariri Soma uelimike sio ukariri
kufika $1 haikua target yenu nyie mlikua mmejiandaa price ya $314000 mmekuja kupindisha story saahvhuyu bwege mjuaji kuliko Wataalamu wa blockchain alisema pi haitafika hta $1 Sasa amejionea mwenyewe pi imemjibu
ivi wewe fikiria hii concept: bitcoin ina coins mil 21 na nyingi zishapotea hazpo kwenye mzunguko price ni $94k, wewe coin yako supply 100B price unataka iwe $314000, unataka Mungu akusaidie vp tena ili uweze kutumia akili vizurihuyu bwege mjuaji kuliko Wataalamu wa blockchain alisema pi haitafika hta $1 Sasa amejionea mwenyewe pi imemjibu
Hawa jamaa na waumini wa Mwamposa hawana tofautikufika $1 haikua target yenu nyie mlikua mmejiandaa price ya $314000 mmekuja kupindisha story saahv
Pi kuna mtu aliniambia na ni mtu ninayemuamini sana. Alinipa coin tatu akaniambia hizi zitaingia sokoni ila ambayo ina uhakika wa kufanya vizuri ni Pi. Basi nikaona hainigharimu chochote acha nijaribu.Kumbe nawewe unachezaga hii michezo ya crypto
kama ulikua na PI 300 basi ulikomaa sana but pia wote wa PI mlitegemea laki tatu, price mnayoiona saaahv mnahuzunika ndan kwa ndan, ni kama mtu alieweka tsh 300 alafu akabet anatakiwa kushinda mil 50 timu moja ikaharibu, maumivu sio kwamba ulitumia tsh 300 but ile expecttionPi kuna mtu aliniambia na ni mtu ninayemuamini sana. Alinipa coin tatu akaniambia hizi zitaingia sokoni ila ambayo ina uhakika wa kufanya vizuri ni Pi. Basi nikaona hainigharimu chochote acha nijaribu.
Jana price ilikuwa 1.7.. na niliuza coin 300 ni USD ngapi?πππ
Nina Pi nyingine 500 ambazo naweza kuziuza muda wowote na nina nyingine 1400 ambazo nasubiri ziwe migrated niweze kuzitumia.kama ulikua na PI 300 basi ulikomaa sana but pia wote wa PI mlitegemea laki tatu, price mnayoiona saaahv mnahuzunika ndan kwa ndan, ni kama mtu alieweka tsh 300 alafu akabet anatakiwa kushinda mil 50 timu moja ikaharibu, maumivu sio kwamba ulitumia tsh 300 but ile expecttion
Mbona unalia ?Una Elimu nzuri lkn imechanganyika na uchafu mwingi pia umeomgea megi sana juu ya Pi lkn Pi imekuonyesha kidogo sana kuwa yenyewe siyo scam ulisema hta dollar 1 haitafika lkn majibu umepata, na ipo exchange lkn pi haihitaji exchange na exchange zinahaa kufuata terms ili wailist pi na ujue pi ni Utility coin, Acha kwenda shule kukariri Soma uelimike sio ukariri