Mkuu we hushangai mafounder ni wamarekani ila wamarekani hawana shobo nayo wakati wana shobo na coins ambazo hazina hata thamani ya $1?ngoja tusikilizie wakileta hizo Apps zilizokua zinatengenezwa kipindi kile cha Hackathon! mimi hainiingii akilini kuwa zile movements na progress zote iwe bure? hapana!
watu wawe wavumilivu unakumbuka kipindi kile ma exchange mbali mbali yaliweka Pi kwa bei ya IOU , Akina Huobi, XT e.tc ngoma inaenda mpaka ma Laki huko kwa Pi, Hype ilikua kubwa sana!
Hawa akina Nico sio wajinga.. Trust Me hii inakwenda ku prove watu Wrong!
Wale wa Kiroho wameshachungulia Pi kuwa inakwenda kubadilisha maisha yao..
Jiulize mkuu?