Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Na yaweza kuwa Pi wamehusika, japo Kuna taarifa ni Lazarus, mana ni siku Moja tu baada ya CEO wa bybit kusema Pi ni scam, na siku Moja baada ya Pi kulaunch Mainnet.
Kuna post ilikuwa Binance wameifuta.

View attachment 3246163
Yah nimesikia ni Lazarus ambao husemekana ni hackers wa north korea. Na ndio wizi mkubwa zaidi wa crypto.
Ila heshima kwa hackers maana mission wanazopiga ni noma
 
Usiuze Pi zako! Subiri zile DApps zianze kutumika! ukiuza hizo uta regret. baadae! Just relax achana na hao wasiojua White paper inasema nini! wale jamaa sio wajinga

Don't Sell
 
Umesha cash out hiyo 500+$?
 
Usiuze Pi zako! Subiri zile DApps zianze kutumika! ukiuza hizo uta regret. baadae! Just relax achana na hao wasiojua White paper inasema nini! wale jamaa sio wajinga

Don't Sell
Whitepaper ya pi haina maajabu boss zipo coin nyingi zilikuja na smart whitepapers kuliko hata ya pi na zikabuma. Ukiona 70+% ya holders wanatokea Africa na Asia hiyo ni laana. Mimi niliuza 10,000 siku ileile, 8600 ndio nimezilock for 3 years ila tangu day 1 naanza ku mine deep analysis yangu ikaniambia bei ya pi haitakuja kuzidi $3.8 maisha yake yote.
 
Najaribu kukutafakari sikuelewi! Kwani mkuu kuna mtu alitoa hata Mia kwenye ku mine Pi? Je mbali na Pi huwa haungii online kwenye social media?
okay haupo whatsap, fb, insta, au sehem zingine Je huko data zako haziwezi kupatikana?

Sioni kama kuna sababu ya kuinanga Pi hivyo maana haujatoa hata sh mia! na kwanza Ku mine ni kila 24 hrs tu. imekuharibia nini

Just relax wale jamaa sio wajinga.
 
Hakuna kitu cha buree
 
okay kwani Pi wakisema wata ilist kwenye exchange?? Au exchange ndio zimeifata Pi?

iko hivi mkuu ngoja nikupe shule kidogo ya; Mtu yoyote mwenye kitu cha tofauti na wengine huyo huwa hatakiwi hata kujitangaza Watu wenyewe watamfata sababu ana kitu cha kipekee na wakikufuata lazima wakubaliane na Masharti yako ndo kama hayo ya KYB.

Pi haikusema italist coin yake exchange yoyote ila exchange wataifuata Pi.

Muda si mrefu utaanza kuona aibu mwenyewe. Hujaisoma vizur Pi watu sio wajinga
 
Expectations, unapokua na mradi kama PI unaetngeneza mindset ya watu kwamba kuliko nifanye kazi kuna sehem naweza kupata ubilionea wa bure, ndo kizazi kinachotengenezwa na hata wakati inakua launched wote wa PI walikua washajua wanaenda kua mabilionea ndo kizazi kinachotengenezwa
 
 
Reality
 
kwahiyo shida ni Mindset za watu?
 
You should be ashamed of yourself, However PI haina utafauti wowote ule ndo maaana walio na elimu na crypto walijua kabisa price ya laki 3 haiwezekan na ndo kilichotokea, toka kwenye huo ulimwengu wako hakuna coin inaweza kuishi bila exchange japkua ni scam project
 
Ndo nilichowaambia hawa watu Pi haikusema kwamba watakua listed kwenye exchange yoyote ile! Ila exchange ndio zimeifuata Pi kwahiyo lazima wakubaliane na masharti hayo ya KYB si mmefuata mtu mwenye kitu.?

Watu hawawezi kukufuata kama hauko valuable.
 
You know nothing!
 
kwahiyo shida ni Mindset za watu?
yeap unatengeneza kizazi cha watu wasio kua na akili, kama sio mainet kuzinduliwa mpaka leo wote wenye PI mawazo yenu ni priceya laki 3, toka imeingia bitget akili kidogo znawakaa swa
 
You know nothing!
the funny thing is wote wa PI akili zenu zpo sawa kuwarekebisha ni ngumu sana, yaani mnachobeba ni kwamba nyie ndo mnajua bitcoin ilivoanza kwahio tupo on the same same track wengine hawana akili 🤣
 
Unaelewa maana ya market cap na circulation supply kwenye crypto ?

Price ya pi ni 0 kwasabu Haina circulation supply Wala market cap. Hiyo mnayoiona ni tagged price coin husika Haina value kabisa. Acha kupoteza muda.
mkuu jaribu kuelewa basi Pi bado haijatangazwa hata bei yake hata matumizi yake bado..Kuwa na subira, Subira itajibu kila kitu wakati ukifika.

NB; Nilikua nashauri kama una App ya Pi Delete kabisa na Uninstall kabisa iwe kama haijawahi tokea kwenye maisha yako. Na maisha mengine yaendelee sio kubishana na watu kuhusu Pi.

Akili hatulingani ndo maana unaona ubishi wote huu! Futa App kabisa kama unayo
 
1pi sawa na 1.7dollar sokoni na tuliambiwa 1pi ina dola laki tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…