stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
ushawahi kuona kyc ya btc?Wewe itakua unamilikiii meme coins ambazo hazina economy value lakin unaipondaa pi network pia 😁😁 pi iko 2.. pi ni real project hii ni marathon ila kuweza kuipiku btc ni ngumu hata ukiangaliaa tokenomics za pi na btc ni tofauti baadh ya Pi fans wana mawenge ya kutaka kufanikiwa chap ila ni project halisi hata kama wamekusanya data Sheria za US, Europe lazima KYC kwa usalamaa ila onchain Pi network inapiga kazi freshii una store pi zako na kutuma baadhi ya exchange acha kukurupukaa itakua pia una uelewaa mdogo kuhusu finTech 😁😁