ushawahi kuona kyc ya btc?Wewe itakua unamilikiii meme coins ambazo hazina economy value lakin unaipondaa pi network pia ππ pi iko 2.. pi ni real project hii ni marathon ila kuweza kuipiku btc ni ngumu hata ukiangaliaa tokenomics za pi na btc ni tofauti baadh ya Pi fans wana mawenge ya kutaka kufanikiwa chap ila ni project halisi hata kama wamekusanya data Sheria za US, Europe lazima KYC kwa usalamaa ila onchain Pi network inapiga kazi freshii una store pi zako na kutuma baadhi ya exchange acha kukurupukaa itakua pia una uelewaa mdogo kuhusu finTech ππ
Kutegemea iwe scam labda kwa wageniHa ha ha ha ha .
Hamna hasara kabisa, hamna hasara hata kwa mbali. Sasa kama mtu anakesha kwenye simu kucheza games ambazo hapati chochote, mtu anakesha online kusoma umbea ambao haumsaidii chochote na mtu ambaye leo hii kile alichokifanya ambacho kwa siku hakikuchokua zaidi ya dakika moja na anapata mpunga hapo mwenye hasara ni nani boss?
Najua wengi mlitegemea ni scam na watu hawatapata chochote ila kilichotokea kimekuwa pia tofauti na mategemeo yenu ndio maana mmebaki kusema ina price ndogo. Price ndogo kwa mtaji wa shingapi tuliowekeza? Ningefungua duka la nguo ningehitaji mtaji right?
Ile token ya binance haikua na kyc mkuu?ushawahi kuona kyc ya btc?
PI sio real project, hawana ata coin bado, mnapelekeshwa uku na uko kwa kutumia terms ambazo hazina maaana ila kwa sababu ya kutokua na uelewa basi na nyie mnachukua, mfano open mainet, mainet all these terms they dont mean anything unique the point apa ni kwamba mnazungushwa uku na kule muendelee kufungua app kila sku wapate ela, toka bicoin imeanza ambao ndo waaanzilishi wa mfumo wa block chain hakuna coin imeingia sokon ikiwa na maneno mengi kama hiiWewe itakua unamilikiii meme coins ambazo hazina economy value lakin unaipondaa pi network pia ππ pi iko 2.. pi ni real project hii ni marathon ila kuweza kuipiku btc ni ngumu hata ukiangaliaa tokenomics za pi na btc ni tofauti baadh ya Pi fans wana mawenge ya kutaka kufanikiwa chap ila ni project halisi hata kama wamekusanya data Sheria za US, Europe lazima KYC kwa usalamaa ila onchain Pi network inapiga kazi freshii una store pi zako na kutuma baadhi ya exchange acha kukurupukaa itakua pia una uelewaa mdogo kuhusu finTech ππ
token gan mkuu ina kyc?Ile token ya binance haikua na kyc mkuu?
Kuna private na public BTC ni public blockchain all transaction zinaonekana ila ni ngumu kuzirudisha ukistore kwenye onchain wallet sio offchain wallet jifunza acha siasaDah umensanua kuna mchongo wa hela ndefu ilikuwa nataks niupige alafu mshko ote uwepo bitcins kwa kuamin ni untreasable kumbe nlikuwa najidanganya mwenyewe
hakuna token wala coin yoyote duniani inayooomba kyc ni PI peke yake all coins u can buy them and own them ukiwa na wallet bila sheria yoyote wala matangazo yoyote, PI sio coin na huenda ile ripoti ya china ikawa sahihi, kama kwel watu waliauliwa baada ya taarifa zao kuvuja basi mpo kwenye hatariIle token ya binance haikua na kyc mkuu?
Wewe mbona kama ni mropokaji ujui chochote una taaluma gan kwanz wewππPI sio real project, hawana ata coin bado, mnapelekeshwa uku na uko kwa kutumia terms ambazo hazina maaana ila kwa sababu ya kutokua na uelewa basi na nyie mnachukua, mfano open mainet, mainet all these terms they dont mean anything unique the point apa ni kwamba mnazungushwa uku na kule muendelee kufungua app kila sku wapate ela, toka bicoin imeanza ambao ndo waaanzilishi wa mfumo wa block chain hakuna coin imeingia sokon ikiwa na maneno mengi kama hii
Unaogopa kufa ππhakuna token wala coin yoyote duniani inayooomba kyc ni PI peke yake all coins u can buy them and own them ukiwa na wallet bila sheria yoyote wala matangazo yoyote, PI sio coin na huenda ile ripoti ya china ikawa sahihi, kama kwel watu waliauliwa baada ya taarifa zao kuvuja basi mpo kwenye hatari
mpaka npo apa nawarekebisha basi inatosha kukupa insight taaluma nlionayo,Wewe mbona kama ni mropokaji ujui chochote una taaluma gan kwanz wewππ
Jamaa huyo ni mbishi tu hata ikiwa pi network ni scam sio tatizo ila yeye anajifanya perfect guy anajua kila kituIle token ya binance haikua na kyc mkuu?
MKuu mimi hii pi sikuifatilia kabisa, kwamba kyc imehitajika sehemu gani?hakuna token wala coin yoyote duniani inayooomba kyc ni PI peke yake all coins u can buy them and own them ukiwa na wallet bila sheria yoyote wala matangazo yoyote, PI sio coin na huenda ile ripoti ya china ikawa sahihi, kama kwel watu waliauliwa baada ya taarifa zao kuvuja basi mpo kwenye hatari
btc ana supply ya 21M coins, PI ana 100B , btc price yake ni $86k ila PI price inaosubiriwa ni laki tatu, kuna mda uafrika ni mgumu sanaUnaogopa kufa ππ
Kyc sio big deal namna hiyo, kwenye hii sekta ya helaJamaa huyo ni mbishi tu hata ikiwa pi network ni scam sio tatizo ila yeye anajifanya perfect guy anajua kila kitu
Laki tatu ya kibongo au usd, sema watu wenyewe wanaochukua coins wanasubiri launch day waziuze izo bei zitafika kwelibtc ana supply ya 21M coins, PI ana 100B , btc price yake ni $86k ila PI price inaosubiriwa ni laki tatu, kuna mda uafrika ni mgumu sana
Pi Ni 10B kufika laki tatu hapana wew ulivyomjinga ukisikiaa wanasema inafika laki tatu na wew una aamini akati at least unajua uchumi kidg ππbtc ana supply ya 21M coins, PI ana 100B , btc price yake ni $86k ila PI price inaosubiriwa ni laki tatu, kuna mda uafrika ni mgumu sana
amna sehem nmesema ivo hayo ni yako, ila i know much about crypto kwa undan wake as advanced as i can recall and all i see ni kikundi cha imani ambacho hakimake sense, wewe tafauti yako na wanaojaza kwa mwamposa ni ndogo sana na huenda shule haijakusaidia lolote, Yaani dunia inapambana na uchukuaji wa taarifa binafsi nyie ndo wala amna hahbari, kule marekani tiktok mpaka imefugiwa kisa kuchukua taarifa nyie uuku walaaa, juzi ripoti imetoka watu wameuliwa wa PI nyie uku walaaa, yaani kuna mda pia uafrika una shida sana na huenda kuna kalaana flan kanatemebea bila kujuaJamaa huyo ni mbishi tu hata ikiwa pi network ni scam sio tatizo ila yeye anajifanya perfect guy anajua kila kitu
lela ya bongo ni kama Billion 1 iviLaki tatu ya kibongo au usd, sema watu wenyewe wanaochukua coins wanasubiri launch day waziuze izo bei zitafika kweli
sasa si ndo tunachowafundisha hawa mabinti wa PI hawaelewi, wanaishi kwa imaniPi Ni 10B kufika laki tatu hapana wew ulivyomjinga ukisikiaa wanasema inafika laki tatu na wew una aamini akati at least unajua uchumi kidg ππ
na sio 10B ni 100B coinsPi Ni 10B kufika laki tatu hapana wew ulivyomjinga ukisikiaa wanasema inafika laki tatu na wew una aamini akati at least unajua uchumi kidg ππ