Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Daaaah nimeliwa. Mpaka sasa nina 5,000pi, 1980pi tayari iko migrated kwenye wallet na bado nachimba. Hii taarifa imeninyong'onyesha sana.
pole sana mkuu, delete kabisa app yao
 
pole sana mkuu, delete kabisa app yao
Usimpe pole , utajiri rahisi duniani haupo lazima uhustle , hizo mishe hutokufa umemkuta billgates, Elon, Azania, amban , dangote, bado haujiulizi tu maswali ya kawaida yaani wewe wa Tanzania vijijini upate mchongo WA pesa kabla magwiji hawajaupata hell no
 
Ukiona umetapeliwa fahamu aliyekutapeli anaakili kuliko wewe, na hakuna utajiri wa kudownload kamwe , kwani wale wa bitcoin wao walishakua mabilionea?
 
Inabidi wajinga wa kitanzania tuwe tunawaeleza kwa lugha ngumu na Kali ili waelewe maana hawajielewi
 
Daaah! haya bhana! Ukiwa na nafasi tuonane pale Mlimani City weekend hii! nikuone laivu tuongee ishu za kibiashara..naona hukunijibu
sasa mzee ntoke kote uku uje uanze kuniambia kuna fursa ya kubonyeza button ya MINE
 
Ukiona umetapeliwa fahamu aliyekutapeli anaakili kuliko wewe, na hakuna utajiri wa kudownload kamwe , kwani wale wa bitcoin wao walishakua mabilionea?
kuna wajinga wa pi humu, ambao wanadai walianza kumine 2019, sasa wangekuwa wanaelewa crypto btc kama sikosei mwaka juzi ilifika mpaka $15000 ambapo wangenunua tu hata za $1000 now wangekuwa mbali, sema moyo wakuhold unahitaji roho ngumu, ndiomana wanapenda vitu petish kama kuclick click wakifikiri wanamine, sasa hiyo pi ukiwaambia ni scam wanasema mbona inauzwa OKX nimeomba proof ya aliyeuza hata pi 1, hakuna aliyekuja wanadai ipo siku, ngoja tuione iyo siku.
 
hao wanaitwa mabilionea wavivu hao nikolas anawapeleka kule anawarudisha uku 🤣 🤣 , uzee huu apa walete kati
 
Billgates akipata kusema we start with ideas then physical investment then earning profit but within profit there is losses then we recover to account more profits , then we pledge ni lugha ngumu Sana hiyo akasema there is no overnight success in this world it's just a process
 
Hao ni wale wanaotamanishwa through first display , halafu wanaingia wazima wazima hizi hata kukumbuka Forex ya Yule dogo hawakumbuki Tu ukawa mfano kwao na hapo wajinga washajitangaza watakua mabilionea now wapowapo kama maiti wanatetea upuuzi ili kupoteza wenzao hakuna utajiri rahisi dunia hii
 
Dangote unamkuta kwenye masoko ya hisa na real investment kwani Hana wataalamu wa IT wanaweza kumshauri hizo platform za kipuuzi na scams?
 
Margin profit And loose profit ndio hufanya makampuni mengi kuorodhesha hisa kwenye masoko ya hisa , hiyo huwasaidia kupata wanahisa ambao huchangia mitaji ya kuendeshea biashara hizo na ukipata gawio unaona kama feva kumbe watu washapiga hesabu kua Ile loose itayopatikana ndio mnagawana then Ile margin anachukua yote lakini mnatoa macho Tu kama wehu
 
unaingiza ngombe studio amna wanachokuelewa zaidi ya mabilioni yao
 
funny thing is ata ufanye vp hawawezi kuacha kuwaza mabilioni yao kama ya Dkt shika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…