Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

money kijana, kama huelewi taarifa znauzwa uko nyuma sana
Wewe ndio huelewi zaidi. Umeanza kejeri badala kujibu swali langu?. Fuata swali langu jibu kwa mpangilio kama nilivyouliza. Watu siku hizi Jf mbona wamepungua sana magreat thinker?.
 
😂😂😂
Hilarious.
Rest assured I will do.
The way I made my remarks about Pi, I thought it made me sound envious,
I don't deserve that generosity.
Don’t worry, you were simply expressing your opinion. Your opinion is well appreciated and taken into consideration.

And to be honest, I can’t spend this fortune alone I would like to share some of this with you.
 
Wewe ndio huelewi zaidi. Umeanza kejeri badala kujibu swali langu?. Fuata swali langu jibu kwa mpangilio kama nilivyouliza. Watu siku hizi Jf mbona wamepungua sana magreat thinker?.
ilo swali jibu lake nlishalielezea sana na amekuja mtu mwingine akaelezea tena cheki posts za juu
 
Don’t worry, you were simply expressing your opinion. Your opinion is well appreciated and taken into consideration.

And to be honest, I can’t spend this fortune alone I would like to share some of this with you.
bilioneaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uko vizuri bilionea
 
mabilihoneya wa pi , kwa sasa hawana Hali , wako Hoi taabani
1740666182907.png
 
hakuna token wala coin yoyote duniani inayooomba kyc ni PI peke yake all coins u can buy them and own them ukiwa na wallet bila sheria yoyote wala matangazo yoyote, PI sio coin na huenda ile ripoti ya china ikawa sahihi, kama kwel watu waliauliwa baada ya taarifa zao kuvuja basi mpo kwenye hatari
Wanahitaji kyc ili kuzuia matapeli kama walioko kwenye bitcoin
 
then hio sio coin ni financial institution, but sometimes i can understand kwann watu hua mnakua fooled na vitu vidogo dogo, tungekua na utaratibu wa watu kupaa elimu nzuri tungeondokana na huu uduwanzi, ulitakiwa mpaka sasa ujue coin ni nn, token ni nn znafanyaje kazi supply ni nn yaani atleast zile basics uwe ushajua but kwa kua mna uvivu basi amna namna ingine ya kuwasaidia, kutokujua sio shida dunia ina vitu vingi huezi jua kila kitu but unafanya nn baada ya kujua ndo tatizoo kama unaendeleza ubishi basi tunakuacha, PI sio coin ya kwanza kuscam watu unaijua ONE coin wewe?
 
Nakuelewa unachosema, pi ndio inataka kuingizwa kwenye mfumo wa coin muda si mrefu, wote walionazo watapata nafasi ya kuuza na kununua kama bitcoin, kila kitu kinaenda step by step, sio scam kama mnavolazimisha, changamkia fursa muda si mrefu watu watavuna mabilioni mwaka huu hauishi
 
Personal info!! How do you know the bank is not selling your information? How about your network provider? Our information is already out there anyway. And besides nobody gives a phuck about my info.
There's no comparison btn bank and your shit pi, i've already explained much about Pi, pi is closed source so you don't actually understand what is behind their code, if you care about personal infos you should atleast concern about your privacy.
 
Personal info!! How do you know the bank is not selling your information? How about your network provider? Our information is already out there anyway. And besides nobody gives a phuck about my info.
Exactly!
 
Nakuelewa unachosema, pi ndio inataka kuingizwa kwenye mfumo wa coin muda si mrefu, wote walionazo watapata nafasi ya kuuza na kununua kama bitcoin, kila kitu kinaenda step by step, sio scam kama mnavolazimisha, changamkia fursa muda si mrefu watu watavuna mabilioni mwaka huu hauishi
we jamaa una shida mahali? kwahio kama sio coin what are you mining and what are you sending to exchanges huoni kama mnapigwa sasa, mnapelekwa uku mnarudhishwa kule, hio open network mliozindua ilikua ya kampuni ama coin
 
Mimi sikuwahi kuamini katika crypto currency, naona kama ni utapeli tu ulio ruhusiwa na serikali jaja ili kukusanya hela zisio na kazi dunia. Ni kama vile serikali zinavyo ruhusu utapeli wa casino au kubeti. Nia ya casino na kubet sio kufanya watu matajiri bali ni kukusanya hela ambazo zinaweza kutengeneza matajiri nje ya mfumo. Serikali zote dunian huwa hazipende matajiri wa nje ya mfumo kama kina Bin laden . Watu hao huwa ni hatari kwa serikali.
Casino ni Casino tu mkuu unachohitaji ni kudermine your own risk, na ndiomana serikali inachukua kodi kwenye makampuni kama sportpesa n.k, na siku zotr the house will always win.
ila pi ni scam kwasabu ni pyramid scheme inayofanya watu waitetee mpka wanatoka damu nj kwasabu tu wanaffiliate watu, na pi inazidi kupiga pesa kwenye matangazo, na wakiuza data zao
 
ndo mara yangu ya kwanza naskia coin inasema ukileta watu 2 tunakupa coin za ziada
 
Back
Top Bottom