Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Personal info!! How do you know the bank is not selling your information? How about your network provider? Our information is already out there anyway. And besides nobody gives a phuck about my info.
Interesting! 😆😄
Definitely you don't, but there are some people out there. They really do.
 
Mbona wanaonekana kukata tamaa
1740661981899.png

apa ni kabla mabilionea wetu hawajakutana na uhalisia 🤣 🤣 🤣
 
Thats was by LAW not for personal gain, they are recommended by law kwenye kesi za uhujumu uchumi other than that Ni PI peke yao 🤣 🤣 🤣
So, Did the court want Lisu’s info so that they could give it to assassins?
 
Sina utaalam wa cyptco currenty. Umesema ni scam. Watakuwa wamewataperi kitu gani waliomine Pi?. Maana hakuna mahala walipotoa chochote. Ni bure kabisa.. Umesema KYC ndizo anazouza?. Wanaozinunua ni kwa kazi gani?.

Na mwisho kama anazitumia KYC kwa masrahi yake binafsi,Naamini anaweza kukamatwa.
(Elezea kwa lugha yenye tafsiri ya kawaida ili wengi waelewe.
 
So, Did the court want Lisu’s info so that they could give it to assassins?
because they have access to it, na ni kitu cha kawaida amna serikali inajiendesha bila taarifa za wananchi you cant do any development bila hizi taarifa, umeelewa billionea? ila kutoa taarifa kwa ajili ya kupigwa hell no
 
Sina utaalam wa cyptco currenty. Umesema ni scam. Watakuwa wamewataperi kitu gani waliomine Pi?. Maana hakuna mahala walipotoa chochote. Ni bure kabisa.. Umesema KYC ndizo anazouza?. Wanaozinunua ni kwa kazi gani?.

Na mwisho kama anazitumia KYC kwa masrahi yake binafsi,Naamini anaweza kukamatwa.
(Elezea kwa lugha yenye tafsiri ya kawaida ili wengi waelewe.
money kijana, kama huelewi taarifa znauzwa uko nyuma sana
 
because they have access to it, na ni kitu cha kawaida amna serikali inajiendesha bila taarifa za wananchi you cant do any development bila hizi taarifa, umeelewa billionea? ila kutoa taarifa kwa ajili ya kupigwa hell no
Bro, are you okay??
I'd agree with you but then we'd both be wrong. Enjoy the rest of your day.
 
Bro, are you okay??
I'd agree with you but then we'd both be wrong. Enjoy the rest of your day.
Kama umeenda shule na umepata elimu nzuri na bado uko kwenye kikoba cha PI its a disgrace, sio lazima ukubaliane na kila nnachosema maaana ata mm nkienda kwa daktari akanipa some names sizijui ntakubali but lazima nirudi kufanya research later online sio kizembe, ila nyie crypto community tunawasadia kabsa kuwasanua ila bado mmekaza fuvu, with it utajiua mwenyewe kwa kwel
 
😂😂
Thank you and feel free to share your “info” so I can send you some money.
😂😂😂
Hilarious.
Rest assured I will do.
The way I made my remarks about Pi, I thought it made me sound envious,
I don't deserve that generosity.
 
Kama umeenda shule na umepata elimu nzuri na bado uko kwenye kikoba cha PI its a disgrace, sio lazima ukubaliane na kila nnachosema maaana ata mm nkienda kwa daktari akanipa some names sizijui ntakubali but lazima nirudi kufanya research later online sio kizembe, ila nyie crypto community tunawasadia kabsa kuwasanua ila bado mmekaza fuvu, with it utajiua mwenyewe kwa kwe
Yada , yada, yada!!😏
 
Back
Top Bottom