Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Allegedly your important private personal info which could be used for fraudulent activities.
May be some time in the future, could lose your money earned from other hardwork apart from Pi crypoto currency.
Wanted to show you how people lose money by dealing with crypto currency coin mining if you are not careful enough to identify unsafe crypto currency blockchains.
Does it make sense now?
Do you seen any relation?
 
Duuuhh😳! Are you okay? Do you have someone who looks after you?
1740660855598.png

Baada ya open mainet

1740660948256.png
before open network
 
Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.

McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black software, Kwa wale msiofahamu kuhusu black software, black software ni zile software unazopewa task utengeneze lakini haziko public available, na Wala hauwezi kuwa na ruhusa ya kusema in public ulitengeneza software Gani, mana ukianza tu kuzigusia hata Kwa uchache ktk public unakuwa ni national threat, mwisho wa siku inabidi wakuue.

McAfee alipiga pesa nyingi kwenye crypto sio kwasabu ya kutrade bali kumention coin ambazo watu wanunue na kuuza kwenye Twitter Kwa sasa X, alikuwa anapewa commission yake lakini wamiliki wa coin walipiga pesa ndefu kutoka Kwa raia au followers wa McAfee, mana walikuwa wanacheza na Liquidity.

Kwa wale ambao tunafuatilia Habari ndiomana tunaona black project ambazo wamezifanya USA kwenye Area 51, Kuna wanajeshi zimewasababishia kansa lakini wanachohitaji ni matibabu tu sio fidia, na hata uwaulize walikuwa wanafanya nini Area 51 hawawezi sema kwasabu ni classified project, na hata taarifa za kuthibitisha kwamba walishiriki haziwezi patikana kwasabu ni National interest,

Leo nataka niwaambie wale wote wanaomiliki Pi, kuwa Pi ni scam project haitompa mtu umilionea zaidi ya wamiliki kwasabu wamepiga pesa nyingi kwenye Ads na data mining, wamekusanya KYC na kuuza Kwa makampuni yanayohusika, hususani MeTa na Google.
Pi yaweza kuwa ni black project ya kukusanya taarifa zenu na kuweka malware kwenye simu zenu.

Crypto unahitaji elimu na sio ukurupukaji, ndiomana ma CEO wa Pi ni social engineers sio crypto enthusiast, kaangalie hata chuo alichosoma CEO wa Pi wame mremove kwenye bio ili wajiepushe na scam ambayo kesho mtaishuhudia.

Kama unaelewa crypto mining huwezi sema unamine Pi, ndiomana apps zote za mining play store walishagazitoa.

Watu wanafikiri pi itampiku BTC lakini haiwezi japokuwa BTC Kuna siku itakuwa na anguko kubwa pale watu watakapojifunza maana halisi ya privacy, kwasabu huwezi amini katika privacy na unatumia CeX (centralized exchanges) kama Binance, Coinbase n.k kwasabu ni trackable.

Bitcoin sio anonymous bado ni trackable kwahiyo naamini kizazi kijacho hakitoitumia Bitcoin kwasabu ni zero privacy.

Sasa vipi kuhusu Pi ambayo ni KYC based, haziko open source tujue wanafanya nini Wala Chochote, lakini wajinga wanaikumbatia na hususani wazee wa affiliate,
Niwaambie tu Pi haitofika hata 1$ ila itavanish

Sasa kesho tusubiri kuona crypto millionaire wa Pi Network waje hapa mana ni siku ya Mainnet.
Mimi sikuwahi kuamini katika crypto currency, naona kama ni utapeli tu ulio ruhusiwa na serikali jaja ili kukusanya hela zisio na kazi dunia. Ni kama vile serikali zinavyo ruhusu utapeli wa casino au kubeti. Nia ya casino na kubet sio kufanya watu matajiri bali ni kukusanya hela ambazo zinaweza kutengeneza matajiri nje ya mfumo. Serikali zote dunian huwa hazipende matajiri wa nje ya mfumo kama kina Bin laden . Watu hao huwa ni hatari kwa serikali.
 
Allegedly your important private personal info which could be used for fraudulent activities.
May be some time in the future, could lose your money earned from other hardwork apart from Pi crypoto currency.
Personal info!! How do you know the bank is not selling your information? How about your network provider? Our information is already out there anyway. And besides nobody gives a phuck about my info.
 
Personal info!! How do you know the bank is not selling your information? How about your network provider? Our information is already out there anyway. And besides nobody gives a phuck about my info.
hakuna anaeruhusiwa kuuza info zako kama sio skama, hahaha no one gives eeeh, sku ukipokea mshtuko wa kukaushia kila kitu benk utashika adab, so unaona marekan hawana akili kusumbuana na tiktok kisa data eeeh 🤣 🤣

Pi mane mane PI
 
si ndo ivo 🤣 🤣 , wakati mo dewji anaamka saa kumi usiku anaamka saa kumi usiku anaenda kweye viwwanda vyake alafu anarudi saa saba usiku mwana Pi anafungua app anaclick MINE alafu wote wanakua mabilionea 🤣🤣
Kuna mwingine tahira unaambiwa alisanili kampuni , akajiregister globy(B2B), export hub, African food changemakers akaanza kuwaeleza wenzake yeye ni bilihoneya ajae , sijui alipotelea wapi
 
Kuna mwingine tahira unaambiwa alisanili kampuni , akajiregister globy(B2B), export hub, African food changemakers akaanza kuwaeleza wenzake yeye ni bilihoneya ajae , sijui alipotelea wapi
🤣🤣🤣 oyaa sio poa vijana wamekataa kabisa kufuata sheria za uchumi wnaishi kwa matumaini saaahv
 
Personal info!! How do you know the bank is not selling your information? How about your network provider? Our information is already out there anyway. And besides nobody gives a phuck about my info.
Bilihoneya wa kijiji huyu
 
Kuna mwingine tahira unaambiwa alisanili kampuni , akajiregister globy(B2B), export hub, African food changemakers akaanza kuwaeleza wenzake yeye ni bilihoneya ajae , sijui alipotelea wapi
ebu mtafute billiionea bna awekeze nchi inamuhitaji aje akiclick button pesa ziingie nchini
 
🤣🤣🤣 oyaa sio poa vijana wamekataa kabisa kufuata sheria za uchumi wnaishi kwa matumaini saaahv
Kila platform wanayoiona wanajua washafika kimataifa , kwenye platform hizohizo ukienda kuwatafuta matajiri wakubwa WA hata Tanzania hauwezi kuwakuta
 
Kila platform wanayoiona wanajua washafika kimataifa , kwenye platform hizohizo ukienda kuwatafuta matajiri wakubwa WA hata Tanzania hauwezi kuwakuta
1740661740866.png

unawaona mabilionea, MC alikimbia baada ya open network
 
hakuna anaeruhusiwa kuuza info zako kama sio skama, hahaha no one gives eeeh, sku ukipokea mshtuko wa kukaushia kila kitu benk utashika adab, so unaona marekan hawana akili kusumbuana na tiktok kisa data eeeh 🤣 🤣

Pi mane mane PI
Didn’t Tigo Tz give out Lisu’s info?
 
Back
Top Bottom