Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule muasisi alianzisha Ile propaganda ili apate views auze matangazo kapiga pesa kasepa hakuna kanuni ya kupata pesa bila jashoishapita ndiomana wanalia, wakufa muache afe.
Umeongea vyema bosswekeza ulicho tayari kupoteza😅
usije lia
Kwani betting ni Nini boss wng, kama unaweza wekeza kitu kwa makisio yani ubashiri hiyo si ni betting?crypto sio betting, ondoa hiyo mindset kichwani mwako, kama unaamini hivyo achana nayo kabisa, crypto isn't for everyone. DYOR
It’s hard to underestimate you. Have the day you deserve.Allow me to care for you, depression is real i can understand,
no pun intended.
tunatakiiwa tuwakusanye wote kwenye gunia alafu wachezee fimbo za kutoshawalienda mpaka chanel ten kutpeli watu, 😁😁
hawa kenge ndio wanakuja huku na ID nyingine kuitetea pi ili waliowadnganya na semina za uongo, wasishtuke wamama kwa wababa wakashona na nguo zenye rangi ya dhambarau kama pi, hii nchi ngumu sana hii, media nazo zinawapa airtime matapeli bila kudive deep kuhusu wanachozungumzia, ilimradi tu airtime imelipiwa.
pioneer wa pi hawana tofauti na waganga.
saaaahv wameambiwa kuna ufunguzi mwingine unaitwa main net ule unaitwa open network 🤣Umeeleza alafu ufahamu unaeleza nini?. crypto ilitengenezwa kwa ajili ya kukwepa trace za wahalifu na umiliki wa pesa kwenye malipo.
Hayo mengine ni wahalifu kuwatafuta wajinga tu.
wanasema unawaonea wivuYule muasisi alianzisha Ile propaganda ili apate views auze matangazo kapiga pesa kasepa hakuna kanuni ya kupata pesa bila jasho
kule kwenye tv hawajui sana kwahio maswali wanauliza ya kawaidaMwanzo nilidhani ni watu wa ACT wazalendo kumbe ni mabilionea na wawekezaji nchini
ndo personal info izo sasa ukishakua nazo unaweza mteketeza mtu vibaya mnoThis is very weak, hizi information ni rahisi kuzipata mkuu hata kwa wasajili laini.
punguza presha mwana payonia, hio PI naijua toka mda mrefu na almost 60% ya project info nlikua nshaipata so amna taharuki apa kinachosemwa ndo uhalisiaPunguza mihemko hakuna mtu anaetaka kujua hizo habari umezijuaje au unazijuaje maana ata wewe pia unajua vizuri hakuna kitu unachokijua.. imagine taarifa zako zinavyokaa.....,. "Mwaka 2021 Dr. Nikolas brah brah brah mambo sio mambo......... Nikolas anawatafuta okx brah brah brah okx wanagoma........... Boom utashangaa hizi taarifa nazitoa wapi......" Tuambia ukiachana na hizo brah brah zako na ngonjera kuna taarifa gani ulizotoa hapo zaidi ya kuleta taharuki watu waiogope pi
ndiomana nimekuambia achana na crypto, kama una hiyo mindset, crypto wenzio wanatrade unaweza trade kwenye margin without owning underlying asset n.k, au ukanunua asset husika, hawabet. crypto is far from betting/gambling. mnapenda sana airdrop hatukatai zipo za maana na scam.. ndiomana Hamster Kombat ilipita na TON nyingi za watu.Kwani betting ni Nini boss wng, kama unaweza wekeza kitu kwa makisio yani ubashiri hiyo si ni betting?
Crypto lengo kuu ni ku decentralize, centralized system ndio hayo mengine yanafuata, usipoteze muda kunielekeza ninachokijua.Umeeleza alafu ufahamu unaeleza nini?. crypto ilitengenezwa kwa ajili ya kukwepa trace za wahalifu na umiliki wa pesa kwenye malipo.
Hayo mengine ni wahalifu kuwatafuta wajinga tu.
Ukiangalia watetezi na members wa pi unaona kabisa hawa akili zao zina tatizo , formular ya kua bilionea hua sio rahisi kiasi hicho Jana kuna jamaa hapa alitoa mfano wa platform za mauzo ya bidhaa mbalimbali ambapo huko hautowakuta matajiri au wazalishaji WA maana ,, kule wanaingia wale wa kusajili kampuni na kubandika Lebo na kujiita wazalishaji nako pia watu hupigika vilevile . Dunia sio rahisi kivilekule kwenye tv hawajui sana kwahio maswali wanauliza ya kawaida
kwa payonia haya sio kwel 🤣Ukiangalia watetezi na members wa pi unaona kabisa hawa akili zao zina tatizo , formular ya kua bilionea hua sio rahisi kiasi hicho Jana kuna jamaa hapa alitoa mfano wa platform za mauzo ya bidhaa mbalimbali ambapo huko hautowakuta matajiri au wazalishaji WA maana ,, kule wanaingia wale wa kusajili kampuni na kubandika Lebo na kujiita wazalishaji nako pia watu hupigika vilevile . Dunia sio rahisi kivile
Ukiangalia watetezi na members wa pi unaona kabisa hawa akili zao zina tatizo , formular ya kua bilionea hua sio rahisi kiasi hicho Jana kuna jamaa hapa alitoa mfano wa platform za mauzo ya bidhaa mbalimbali ambapo huko hautowakuta matajiri au wazalishaji WA maana ,, kule wanaingia wale wa kusajili kampuni na kubandika Lebo na kujiita wazalishaji nako pia watu hupigika vilevile . Dunia sio rahisi kivile
Wawekezaji wetu hawa waache wafurahie uwekezaji wao