Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Umeeleza alafu ufahamu unaeleza nini?. crypto ilitengenezwa kwa ajili ya kukwepa trace za wahalifu na umiliki wa pesa kwenye malipo.

Hayo mengine ni wahalifu kuwatafuta wajinga tu.
 
crypto sio betting, ondoa hiyo mindset kichwani mwako, kama unaamini hivyo achana nayo kabisa, crypto isn't for everyone. DYOR
Kwani betting ni Nini boss wng, kama unaweza wekeza kitu kwa makisio yani ubashiri hiyo si ni betting?
 
tunatakiiwa tuwakusanye wote kwenye gunia alafu wachezee fimbo za kutosha
 
Umeeleza alafu ufahamu unaeleza nini?. crypto ilitengenezwa kwa ajili ya kukwepa trace za wahalifu na umiliki wa pesa kwenye malipo.

Hayo mengine ni wahalifu kuwatafuta wajinga tu.
saaaahv wameambiwa kuna ufunguzi mwingine unaitwa main net ule unaitwa open network 🤣
 
punguza presha mwana payonia, hio PI naijua toka mda mrefu na almost 60% ya project info nlikua nshaipata so amna taharuki apa kinachosemwa ndo uhalisia
 
Kwani betting ni Nini boss wng, kama unaweza wekeza kitu kwa makisio yani ubashiri hiyo si ni betting?
ndiomana nimekuambia achana na crypto, kama una hiyo mindset, crypto wenzio wanatrade unaweza trade kwenye margin without owning underlying asset n.k, au ukanunua asset husika, hawabet. crypto is far from betting/gambling. mnapenda sana airdrop hatukatai zipo za maana na scam.. ndiomana Hamster Kombat ilipita na TON nyingi za watu.
 
Umeeleza alafu ufahamu unaeleza nini?. crypto ilitengenezwa kwa ajili ya kukwepa trace za wahalifu na umiliki wa pesa kwenye malipo.

Hayo mengine ni wahalifu kuwatafuta wajinga tu.
Crypto lengo kuu ni ku decentralize, centralized system ndio hayo mengine yanafuata, usipoteze muda kunielekeza ninachokijua.
 
kule kwenye tv hawajui sana kwahio maswali wanauliza ya kawaida
Ukiangalia watetezi na members wa pi unaona kabisa hawa akili zao zina tatizo , formular ya kua bilionea hua sio rahisi kiasi hicho Jana kuna jamaa hapa alitoa mfano wa platform za mauzo ya bidhaa mbalimbali ambapo huko hautowakuta matajiri au wazalishaji WA maana ,, kule wanaingia wale wa kusajili kampuni na kubandika Lebo na kujiita wazalishaji nako pia watu hupigika vilevile . Dunia sio rahisi kivile
 
kwa payonia haya sio kwel 🤣
 
unawaona mabilionea wavivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…