bilionea kama bilioneaBoss upo sawa kweli?
Bitcoin haina Kyc? Aiseee????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bilionea kama bilioneaBoss upo sawa kweli?
Bitcoin haina Kyc? Aiseee????
Ukialika mtu Binance akafanya KYC unapewa 5USDTukialika mtu unapewa tsh 🤣 🤣 🤣
mzee unajua tafauti ya coin na exchange aisee arifu?Ukialika mtu Binance akafanya KYC unapewa 5USDT
lini hio ulifanya kyc bitcoin mamaa? 🤣Boss upo sawa kweli?
Bitcoin haina Kyc? Aiseee????
bilionea mvivu anaitwa 🤣 🤣bilionea kama bilionea
unaalika mtu alafu unapewa PI ya burewawekezaji wa pi tuwaheshimu haha kumbe kwenye ubilionea wanaalikana hata hamsemi ?
achana nao hao ni vichaa kama vichaa wengine waliopo dampo huko , wanaita NI kutake risk wakati ni upungufu WA akili , FIC nao soon wataimba muziki wa countrylini hio ulifanya kyc bitcoin mamaa? 🤣
Hamna bilionea hapo ni njaa Kali na empty headbilionea mvivu anaitwa 🤣 🤣
wewe kwa saaahhv ufunge tu na kuomba maaana wanachofanyia izo data no one knows, la kwa yaliotokea chini ilitakiwa iwe fundisho ila sasa shida amna muelekezwe vp hamuelewi, inawezekana watu wengi wa PI bado hamjui crypto ni nn ndo maana PI team wanawaburuza wanavotakaBoss upo sawa kweli?
Bitcoin haina Kyc? Aiseee????
Walishajua kusoma kiingereza Chao cha kuvizia wanaona crypto washaiweza , wanajiita wenye akili , hizo platform zinawafanya wajione wamepatia maisha kujiregister Tu wanaona mambo tayari ,unaalika mtu alafu unapewa PI ya bure
Hamna bilionea hapo ni njaa Kali na empty head
Hamna bilionea hapo ni njaa Kali na empty head
bora ingekua ivo kuregister tu washaanza kuitana mabilioneaWalishajua kusoma kiingereza Chao cha kuvizia wanaona crypto washaiweza , wanajiita wenye akili , hizo platform zinawafanya wajione wamepatia maisha kujiregister Tu wanaona mambo tayari ,
Akili fupi , akili fupi wanazidanganya akili zao wenyewebora ingekua ivo kuregister tu washaanza kuitana mabilionea
Endelea na mambo yako Chief... Sinaga ligi za kijingabilionea wa kuclick button mambo vp? unaonaje biashara leo ushalipa wafanya kazi salary?
bilionea mvivu kuna shido?Endelea na mambo yako Chief... Sinaga ligi za kijinga
Can you buy or sell Bitcoin without KYC?lini hio ulifanya kyc bitcoin mamaa? 🤣