Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Can you buy or sell Bitcoin without KYC?

So, if I understand you correctly, are you saying Pi is a scam because it doesn’t follow Bitcoin’s path? Do you know why KYC is required now, as opposed to when Bitcoin was first introduced?

yes you can buy and sell bitcoin without KYC, it shows huelewi crypto ndo maaana! bitcoin ndo ilioanzisha mfumo wa crypto na coin zote znafuata scheme yake maybe in different areas but its still the same same scheme except for PI, unaiona PI kama big deal kwa sababu huna elewa sana wa crypto na unatumia matumaini zaidi ya uhalisia, you will be DISAPOINTED vibaya mno

Can you buy or sell Bitcoin without KYC?

So, if I understand you correctly, are you saying Pi is a scam because it doesn’t follow Bitcoin’s path? Do you know why KYC is required now, as opposed to when Bitcoin was first introduced?
waliokua wanawaambia price ya laki 3 haiwezekan but mliwaona kama wapiga ramli mkaamini core team, hio sku imefika mkaita mpaka channel 10 mkafanya uzinduzi lakini lisaa tu baada ya uzinduzi channel 10 wakasepa, ilikua ni aibu kubwa sana but utafanyaje sasa watu mnaelekezwa mwaka mzima hamuelewi

my doubts are on the info mmezitoa, what they will do with those data sioni namna mnatoka salama pale
 
Cool story, bro 😂😂

Please stop replying with irrelevant Youtube content. No one is interested. If you're trying to promote your own channel, it would be better to say so directly.
 
You are boring. I'm not sure what 'those people' you're referring to are, and I'm not part of any group.
 
You are boring. I'm not sure what 'those people' you're referring to are, and I'm not part of any group.
as long una miliki PI app mlikua promised laki 3, dont feel mad you will learn the hard way
 
Cool story, bro 😂😂

Please stop replying with irrelevant Youtube content. No one is interested. If you're trying to promote your own channel, it would be better to say so directly.
mmeambiwa mboreshe akili zenu
 
as long una miliki PI app mlikua promised laki 3, dont feel mad you will learn the hard way
That amount was never promised to me. So, you're finding satisfaction in the fact that some people's goals don't come to fruition? That sounds like jealousy to me.
 
KYC ni kwa ajili ya exchange sio bitcoin, ni kama vile unafanya KYC benki but hakuna namna kumiliki tsh unahitaji KYC, yaaani mtazunguka kote but this project is a pure scam, tamaa ya pesa za bure who knows what comes next?
Ndio ni kama kwenye Binance unafanya KYC ili umiliki Bitcoin,ila kwenye Pi application unafanya KYC ili uuze data zako,Pi ni utapeli
 
That amount was never promised to me. So, you're finding satisfaction in the fact that some people's goals don't come to fruition? That sounds like jealousy to me.
stakehigh Pi coin ni utapeli,mfano mtu ungenunua Pi ikiwa $0.6,tunavoongea sasa hivi ana hasara ya kufa mtu na ameibiwa data zake tu.
Hata aliyenunua Bitcoin mwaka 2020 akiamini itafika $200,000 mwaka 2025,tunavoongea Sasa ana hasara ya kufa mtu sababu bei aliyoiamini haikufika
 
as long una miliki PI app mlikua promised laki 3, dont feel mad you will learn the hard way
Upo sahihi hata mtu aliyenunua Bitcoin ikiwa $20,000 akiamini itafika $120,000,ana hasara ya kufa mtu sasa hivi sababu haijafika matarajio yake.
Hata hivo tulikubaliana Pi coin ni scam na coreteam wamehonga ili iwe listed coinmarketcap.com
 
Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…