yaaani PI ndo coin kubwa duniani hakuna kama PI, yaaani PI ndo coin pekee ata ukitaka kuuza unanyimwa na core team 🤣🤣, yaani core team waendelee ivo ivo wapige ela kwenye matangazo mpaka mnyookePi coins ni scam haina thamani yeyote ile,na haiwezi kukua,coins zenye thamani kama Bitcoin ndani ya mwezi tu zilivoanza ilikua na thamani ya zaidi ya $10
pi coins ni scam
Hivi tofauti na pi hamna sarafu nyingine naweza kuipata kwa kumine?Kweli wanaomiliki Pi coins ni machizi aiseee,huu mradi hauna thamani yeyote ile
yaani hauna thamani kabisa mwanangu, huu mradi ni wa mabilionea tu, yaani soon unakua bilionea endelea kushare link ya PI mwanangu mpaka wote muwe mabilionea, core team waanapenda sana mabilioneaKweli wanaomiliki Pi coins ni machizi aiseee,huu mradi hauna thamani yeyote ile
Mbona unachekacheka hovyo kama malaya aliyeona bia?yaaani PI ndo coin kubwa duniani hakuna kama PI, yaaani PI ndo coin pekee ata ukitaka kuuza unanyimwa na core team 🤣🤣, yaani core team waendelee ivo ivo wapige ela kwenye matangazo mpaka mnyooke
Kuna utafauti kati ya mtu alienunua kwenye exchange na aliekua anaclick kila sku, alienunua kwenye exchange obvious hakupewa coin yoyote but it was just typed unamiliki PI kiasi flan, waliomine hao ndo kabisaa wa kuonea huruma kwa sababu haziuziki, THEY DONT EXIST 🤣🤣🤣sindano imeanza kukuingia sio! watu wamepiga hela na zingine wame hold! endelea scam scam mara sijui mabilionea ..
utaelewa tu kwann nachekaMbona unachekacheka hovyo kama malaya aliyeona bia?
hakuna mtu anaweza tuma zile za app kwenda exchange, watu washalalmika sana na sio kwa bahati mbaya , ni vile tu core team washapata ngombe wa kupelaka uko na uku,katoa Pi app kapeleka exhange baadhi kapiga hela! utamwambia nini huyo na zingine kazihifadhi.. wewe endelea kushupaza shingo tu
bilionea mvivu unataka kua bilionea kwa kuclick button kila sku?Hivi tofauti na pi hamna sarafu nyingine naweza kuipata kwa kumine?
alafu we jamaa ni mshamba sana 🤣 🤣 , huelewi ata market cap ni nn umekomaa na screenshot kila sehem, ngoja nkusaidiaKweli wanaomiliki Pi coins ni machizi aiseee,huu mradi hauna thamani yeyote ile
kwa lugha nyepesi punguza ushamba, yaani mtu mwenye uelewa mzuri anakuona kama kakuku flan 🤣🤣, unaongea upuuzi kila sehem na husaidiki, kuna mtu aliwaita matahira apo juu ila it makes senseKweli wanaomiliki Pi coins ni machizi aiseee,huu mradi hauna thamani yeyote ile
Kwani Pi coin Ina value yeyote ile,sokoni?mzee umeshikiia hio screenshot 🤣🤣, bilionea ajaye mvivu hujawahi ona coin ina market cap ndogo na inauzwa bei ndefu nn
Kwani Pi coin,Ina thamani yeyote?alafu we jamaa ni mshamba sana 🤣 🤣 , huelewi ata market cap ni nn umekomaa na screenshot kila sehem, ngoja nkusaidia
kupata market cap: (supply * latest price iliotumika kwenye exchange) unaweza ukawa na coin yenyewe market cap ndogo na ikawa na price kubwa: mfano huu apa
View attachment 3261473
2) PI walisema msipeleke coin zenu kwenye exchange sasa data za exchange mnazililia za nn?
3) Bybit founder alishasema PI ni scam labda kama unaona sisi tunapiga kelele unless wewe una akili kuliko founder wa bybit na binance washaikataa sasa kama wewe una akili kuliko wao sawa
4) ni PI peke yake inataka watu wafanye KYC 🤣🤣🤣, in simple words unaonekana hauna akili ndo maanaa umekomalia screenshot, kwa mtu yoyote mwene ujuzi mzuri wa crypto anakuona mshamba sana
Kwani Pi coin,ina thamani yeyote sokoni?,mi nadhani wanaomiliki Pi coins,ndio washamba na sio mimi na wewe ambao kiuhalisia ni watu smart(wajanja) tunaosema Pi coins ni scammkwa lugha nyepesi punguza ushamba, yaani mtu mwenye uelewa mzuri anakuona kama kakuku flan 🤣🤣, unaongea upuuzi kila sehem na husaidiki, kuna mtu aliwaita matahira apo juu ila it makes sense
Mkuu umeweza kuuza coinu zako?Daah,maneno meengi.
Sasa kwahiyo kama mtu ameweza kupiga mpaka milion tisa kun ubaya gani mzee??
Wabongo ujuaju mwingi sana.
Huo uscam wa pi ni upi sasa,na ndo kwaanza unaanza kupaa.
Mimi niseme tu nashukuru nimeoig gela y kutosha na pi,na bado ninazo nyingine nazihold.
I have nothing to lose mzee
Nitaangali baadae wameniscam nini,tuache ujuaji kwa tusiyoyajua
Upo sahihi hata mtu aliye na Pi 100 alizopata bure,hata Pi ikifika $2 hawezi pata faida yeyote.yaaani huo mradi mpaka gcv value ifike bitcoin yenyewe itasubiri, hakuna kama Pi
Washamba sana aisee,mradi umeanza hauna thamani yeyote ile aiseeeeeh bilionea core team wanawajali sana watawapa PI za bure muwe mabilionea sawa eeh?
Kuna bee coins,Kuna Sidra coinHivi tofauti na pi hamna sarafu nyingine naweza kuipata kwa kumine?
Unawezaje kununua Pi coins kwenye exchange,wakati Pi coins hazina thamani yeyote?Kuna utafauti kati ya mtu alienunua kwenye exchange na aliekua anaclick kila sku, alienunua kwenye exchange obvious hakupewa coin yoyote but it was just typed unamiliki PI kiasi flan, waliomine hao ndo kabisaa wa kuonea huruma kwa sababu haziuziki, THEY DONT EXIST 🤣🤣🤣
Sahihi hata exchange kama Binance,ama Coinbase kule unaweza miliki coins bila kufanya KYC,...........Pi coin ni scam sababu ipo tofauti na Bitcoinalafu we jamaa ni mshamba sana 🤣 🤣 , huelewi ata market cap ni nn umekomaa na screenshot kila sehem, ngoja nkusaidia
kupata market cap: (supply * latest price iliotumika kwenye exchange) unaweza ukawa na coin yenyewe market cap ndogo na ikawa na price kubwa: mfano huu apa
View attachment 3261473
2) PI walisema msipeleke coin zenu kwenye exchange sasa data za exchange mnazililia za nn?
3) Bybit founder alishasema PI ni scam labda kama unaona sisi tunapiga kelele unless wewe una akili kuliko founder wa bybit na binance washaikataa sasa kama wewe una akili kuliko wao sawa
4) ni PI peke yake inataka watu wafanye KYC 🤣🤣🤣, in simple words unaonekana hauna akili ndo maanaa umekomalia screenshot, kwa mtu yoyote mwene ujuzi mzuri wa crypto anakuona mshamba sana
Nimefurahi kukuona mkuu😂