alafu we jamaa ni mshamba sana 🤣 🤣 , huelewi ata market cap ni nn umekomaa na screenshot kila sehem, ngoja nkusaidia
kupata market cap: (supply * latest price iliotumika kwenye exchange) unaweza ukawa na coin yenyewe market cap ndogo na ikawa na price kubwa: mfano huu apa
View attachment 3261473
2) PI walisema msipeleke coin zenu kwenye exchange sasa data za exchange mnazililia za nn?
3) Bybit founder alishasema PI ni scam labda kama unaona sisi tunapiga kelele unless wewe una akili kuliko founder wa bybit na binance washaikataa sasa kama wewe una akili kuliko wao sawa
4) ni PI peke yake inataka watu wafanye KYC 🤣🤣🤣, in simple words unaonekana hauna akili ndo maanaa umekomalia screenshot, kwa mtu yoyote mwene ujuzi mzuri wa crypto anakuona mshamba sana