Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Daah aisee,so unafananiaha trust wallet na pi???like serious...basi mkuu
Yaishe,umeshinda,pi ni scam
kwan PI ina miujiza 🤣 🤣 , kubali tu mmeshikwa pabaya mtulie hii project tunaijua toka inaanza, scam project 🤣🤣
 
Yaani ana hasara sana ni bora huo muda angetumia kucheza game la nyoka. Yaani mtu unanunua Pi ilivyokuwa $0.6 na sasa unauza kwa 1.7 dollars huo si ni upuuzi.

Naunga mkono hoja, hawa jamaa wana akili sana.
wana akili sana kwa sababu wao ndo wanakuja kua mabilionea
 
Mkuu ukipata sehemu nyingine wenye wanataka taatifa zangu wanipe hela nishtue hata kama ni elfu 50. Wakinipa laki nauza hadi za familia.
Mtu anasema ataibiwa taarifa ukifuatilia taarifa zenyewe ni sms za mapenzi na video za porno alizohifadhi kwenye tecno yake 😁😁
 
Kwani Pi coin,ina thamani yeyote sokoni?,mi nadhani wanaomiliki Pi coins,ndio washamba na sio mimi na wewe ambao kiuhalisia ni watu smart(wajanja) tunaosema Pi coins ni scamm

amna kaka wajanja hawa apa kwenye uzinduzi yaaani mabilionea, mjanja mwingine ni spleen yaani alidhan market cap ndo price kupanda, yaani kiuhalisia alieita matahira hajakosea
 
kwan PI ina miujiza 🤣 🤣 , kubali tu mmeshikwa pabaya mtulie hii project tunaijua toka inaanza, scam project 🤣🤣
Tumeshikwa wapi kwani tumetoa hela?

Wewe ukibeti kwenye mpira kuna kupata na kukosa,..kwenye PI tunajua ipo kwenye majaribio hivyo ikikubalika mkeka wetu umetiki japo hatukubeti na hela.

Acha kujichekesha hovyo mkuu
 
yaaani ata PI ifike $100 mabilionea wa PI wapo pale pale
 
AI yenyewe inakubali huu mradi upo sema upo kwenye majaribio. Maana yake kuna kukubaliwa na masoko ya fedha au kukataliwa

Tumeshikwa wapi kwani tumetoa hela?

Wewe ukibeti kwenye mpira kuna kupata na kukosa,..kwenye PI tunajua ipo kwenye majaribio hivyo ikikubalika mkeka wetu umetiki japo hatukubeti na hela.

Acha kujichekesha hovyo mkuu
Shing yu bilionea, PI ni kwa ajili ya mabilionea kma wewe tu, wewe andaa tu benki akaunti core team watakutumia mabilion yako, endelea kumine sku sio nyingi unakua elon maski
 
AI yenyewe inakubali huu mradi upo sema upo kwenye majaribio. Maana yake kuna kukubaliwa na masoko ya fedha au kukataliwa

View attachment 3261566

its because hauna uelewa kwa crypto wewe ni fuata mkumbo, kama warning zilizotolewa haziwatoshi we endelea kumine mzee, mwenye bybit exchange alishasema vya kutosha na kutoa elimu binance pia walishatoa sababu zao za kutosha kwann hawaitaki, sisi pia tushawaambia kinachoendelea kama haya yote hamuyaskii basi hamna namna mtasaidiwa tena, AI inachukua taarifa online na kusummarize
 
Mtu anasema ataibiwa taarifa ukifuatilia taarifa zenyewe ni sms za mapenzi na video za porno alizohifadhi kwenye tecno yake 😁😁
uko primitive huna uelewa wa hizi taarifa, USA alimfukuza tiktok kwa sababu ya TAARIFA wewe huna uelewa kwahio kaa tulia subiria yatakayokukuta
 
Kwani Pi coin,ina thamani yeyote sokoni?,mi nadhani wanaomiliki Pi coins,ndio washamba na sio mimi na wewe ambao kiuhalisia ni watu smart(wajanja) tunaosema Pi coins ni scamm
ama kaka PI ni ya mabilionea tu, mbna hutumi zile screenshot za market cap tena ama ushavurugwa au ndo umeijua crypto juzi nn
 
ama kaka PI ni ya mabilionea tu, mbna hutumi zile screenshot za market cap tena ama ushavurugwa au ndo umeijua crypto juzi nn
Hivi hadi sasa Kuna exchange yeyote imeilist Pi coins,ambayo ni scamm mkuu?
 
Attachments

  • Screenshot_20250306-174416.png
    77.3 KB · Views: 1
uko primitive huna uelewa wa hizi taarifa, USA alimfukuza tiktok kwa sababu ya TAARIFA wewe huna uelewa kwahio kaa tulia subiria yatakayokukuta
Kwani Pi coin ina value yeyote hadi sasa?
 
Attachments

  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…