stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
sema mwanangu mm napenda KO TIMU wanavowazungusha kule mkaletwa uku mkarudishwa kule yaani full burudaninipo ndugu yangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema mwanangu mm napenda KO TIMU wanavowazungusha kule mkaletwa uku mkarudishwa kule yaani full burudaninipo ndugu yangu!
bilionea mvivunipo ndugu yangu!
Hata SEX unayoisifia ni self-reported
because it was a scam project kama PI ndo maaana btc ndo inahesabika kama the most expensive! pia kuna ingine ilikua inaitwa ONE COIN ya mda kidogo ila ilikuja kufungwa ikaishia watu kuuliwa, watu wengi wameanza crypto juzi so hawaelewi wapi tumetoka wanaona PI kama kitu cha ajab kumbe scam kama ivi tushaziona sana
Tuko na wewe mpaka ukose la kuongea, Tayari huko markertCap PI haina self-reported. Bali taarifa ni Verified kutoka public exchangesbecause it was a scam project kama PI ndo maaana btc ndo inahesabika kama the most expensive! pia kuna ingine ilikua inaitwa ONE COIN ya mda kidogo ila ilikuja kufungwa ikaishia watu kuuliwa, watu wengi wameanza crypto juzi so hawaelewi wapi tumetoka wanaona PI kama kitu cha ajab kumbe scam kama ivi tushaziona sana
Na hizi ni baadhi tu ya Exchange unapoweza kununua na kuuza PI.because it was a scam project kama PI ndo maaana btc ndo inahesabika kama the most expensive! pia kuna ingine ilikua inaitwa ONE COIN ya mda kidogo ila ilikuja kufungwa ikaishia watu kuuliwa, watu wengi wameanza crypto juzi so hawaelewi wapi tumetoka wanaona PI kama kitu cha ajab kumbe scam kama ivi tushaziona sana
🤣 🤣 ebu bonyeza iko kitiki alafu leta screenshotTuko na wewe mpaka ukose la kuongea, Tayari huko markertCap PI haina self-reported. Bali taarifa ni Verified kutoka public exchanges
Tafuta chaka lingine, wamesema kuhusu taarifa zao hawajali kwa sababu hata hapa JamiiForums taarifa zetu haziko salama.
View attachment 3262310
🤣🤣 umeniona kama mmoja wenu nn, hizo ni exchange ndogo zinazotafuta trading volume ila hakuna asiejua PI ni scam, watu wanatafuta tu ela apo ila bybit ashawachana mda mrefu, ata binance mpaka leo wanajifikiria 🤣🤣 ,Na hizi ni baadhi tu ya Exchange unapoweza kununua na kuuza PI.
Najua utanunua kisirisiri, mwaka 2036 tukutane hapa kupeana update.
View attachment 3262325
PI & BTC zote hazitofautiani baada ya kubonyeza tick, leta kichaka kingine.🤣 🤣 ebu bonyeza iko kitiki alafu leta screenshot
Tukumbushe tera lunabecause it was a scam project kama PI ndo maaana btc ndo inahesabika kama the most expensive! pia kuna ingine ilikua inaitwa ONE COIN ya mda kidogo ila ilikuja kufungwa ikaishia watu kuuliwa, watu wengi wameanza crypto juzi so hawaelewi wapi tumetoka wanaona PI kama kitu cha ajab kumbe scam kama ivi tushaziona sana
Jamaa hajakuelewa😂stakehigh njoo unitetee mkuu,kwa mimi kuumia Pi coin kuwa na market cap ya $10B, na $1.86wakati walionazo walitegemea ingeanza na dola laki 3,...........kwa hio naumia mimi nisiyemiliki Pi coin hata moja
Ata Tax fay AKA bolt walipokua wanasajili madereva walikua wanafanya kyc.mbona h🤣🤣🤣🤣
My point hapo ni moja,
Unadhani wngekuwa hawachukui hizo id,wlmtu mmoja angeluwa na account ngapi??
Mimi tu mmoja,nilikuw na accunt tatu za pi,KYC inafanywa hadi na tigo,voda tuseme nao wanaiba taarifa zetu
PI & BTC zote hazitofautiani baada ya kubonyeza tick, leta kichaka kingine.
BTC
View attachment 3262523
PI
View attachment 3262524
acha kulinganisha BTC na kilema 🤣 🤣 , btc ashakwambia ualike mtu upate btc ingine ama btc alishakwambia ufanye KYC 🤣🤣, au ulishawahi kuskia BTC ana lock pesa za watu 🤣 🤣PI & BTC zote hazitofautiani baada ya kubonyeza tick, leta kichaka kingine.
BTC
View attachment 3262523
PI
View attachment 3262524
kwahio PI ni kampuni si ndio? basi mshajifunga PI sio coin ni kampuni and it makes sense ndo maaana mmeambiwa mualike watu wengine 🤣Ata Tax fay AKA bolt walipokua wanasajili madereva walikua wanafanya kyc.mbona h
hatuskii vilio kwa hao madereva kuwa kimewapata kiitu kbayaa?
hio mbna ina afadhali PI inaendana na ONE COIN terra uko utakua unawaonea sana 🤣🤣, wengi wameingia juzi hawaelewi usiku mmoja watu walilia sanaTukumbushe tera luna
Siku sio nyingi utajificha😂😂😂
sawa bilionea hannah, angalia tu usije ukajificha wewe sasaSiku sio nyingi utajificha😂😂😂