Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

wana PI mko wazima? polen kwa kupoteza akaunti zenu 🤣 🤣 , tuliwaambia mapema jamani hawa watu wanawatumia hamkuskia
 
Sye wazma wa afya tele.mie bdo mbona ninayo na acount haiijapotea walioopteza labda kunatatizo walifanya
 
Swezi kulia kwakua swadai chochote bando nalotizamiaga xxn nikubwa kuliko mb 5 nlizokua natumia kuchiimbua Pi kwahyo nikama nakua najiburudisha ila ikitik ndo neema yenyewe Pi mane Pi
mwanangu jiandae kisaikolojia
 
Swezi kulia kwakua swadai chochote bando nalotizamiaga xxn nikubwa kuliko mb 5 nlizokua natumia kuchiimbua Pi kwahyo nikama nakua najiburudisha ila ikitik ndo neema yenyewe Pi mane Pi
usipende kujitetea kwamba hujaloose, kua na matumaini na kitu na kikaenda tafauti ni loss pia hio 🤣 🤣 , napitia apa msije mkajiua
 
Dah nnijitetee kwako wewe niwakala wa forotha au alafu wengne tunachat kujok iila mwenza kama upo siriaz na pi shda nin kwan wakiiibiwa au tukiibiwa shda nin usjekua mgonjwa rafki mi nkajua burdan tena unaanza na kashfa
 
1741975345763.png

amna anaejoke apa mzee, mpaka leo tunawahurumia izo data watakachofanyia mpaka leo labda malaika awalinde tu
 
Back
Top Bottom