Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

I've said this before, and I'll say it again, please stop responding with Youtube links. No one is interested. Now, can you tell me directly what you want to say in your own words? I don't have time for links.

Also, are you alright?
kwa lugha nyepesi jamaa waliwatapeli
 
1741982960247.png
 
usipende kujitetea kwamba hujaloose, kua na matumaini na kitu na kikaenda tafauti ni loss pia hio 🤣 🤣 , napitia apa msije mkajiua
Kuandika hujui na bado nimjuaji.
Sio kuloose ni kulose.
 
I've said this before, and I'll say it again, please stop responding with Youtube links. No one is interested. Now, can you tell me directly what you want to say in your own words? I don't have time for links.

Also, are you alright?
nkiboeka nawakumbukga wana PI japo najua mnapitia kipindi kigumu ila next time mtakua wajanja
 
bilionea unakuaje na visingizio ivo, tukiwaambia mnachezwa hamskii
Despite claiming Pi is a scam and not participating in mining or trading and yada yada yada, yet you're obsessed with finding every scrap of information about it.
Are you insane? Wouldn't your time be better spent elsewhere?
 
si nmeshort PI ama hujaona? ama hujui maaana ya KUSHORT
1742049358466.png
 
Back
Top Bottom