Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

mkuu jaribu kuelewa basi Pi bado haijatangazwa hata bei yake hata matumizi yake bado..Kuwa na subira, Subira itajibu kila kitu wakati ukifika.

NB; Nilikua nashauri kama una App ya Pi Delete kabisa na Uninstall kabisa iwe kama haijawahi tokea kwenye maisha yako. Na maisha mengine yaendelee sio kubishana na watu kuhusu Pi.

Akili hatulingani ndo maana unaona ubishi wote huu! Futa App kabisa kama unayo
On a serious note unahitaji usaidizi wa kisaikolojia mwanangu, huenda upo mahali pabaya sana, PI ipo kule bitget, okx bado upo ndotoni
 
H
apo wanasema msalimie bilonea mwenzako kuna zingine walikua wanafanya mkutano jinsi ya kuishi baada ya kupata utajiri, walikua wanambiana wasaidie serikali kujenga vituo vya afya
Ujinga ujinga tu
 
sawa bilionea mvivu
Sio uwongo Ubilionea upo mkononi mwangu sio ishu za cryptos lakini! mkuu kama upo pande za dsm aiseeh siku tutafutane...pande za Mlimani City itakua poa. Una kitu, tuongee ishu za kibiashara nje ya Crypto world..
 
Yah nimesikia ni Lazarus ambao husemekana ni hackers wa north korea. Na ndio wizi mkubwa zaidi wa crypto.
Ila heshima kwa hackers maana mission wanazopiga ni noma
Kinachoshangaza signers zaidi ya mmoja wote wanakua manipulated, bybit wajichunguze wao
mkuu jaribu kuelewa basi Pi bado haijatangazwa hata bei yake hata matumizi yake bado..Kuwa na subira, Subira itajibu kila kitu wakati ukifika.

NB; Nilikua nashauri kama una App ya Pi Delete kabisa na Uninstall kabisa iwe kama haijawahi tokea kwenye maisha yako. Na maisha mengine yaendelee sio kubishana na watu kuhusu Pi.

Akili hatulingani ndo maana unaona ubishi wote huu! Futa App kabisa kama unayo

Siwezi kuwa na app inayoiba data zangu, Pioneers wa Pi mnatetea sana kwasabu tunawaambia watu nini cha kufanya.

Pi ni scam completely, target kubwa ilikuwa Kwa wazee na watu wasio na uelewa kuhusu crypto, lakini ndio hivyo umeenda viral.

KYC system ya Pi ni wizi tu, ndiomana almost KYC wengi zinakataa.
Customer care ndio kabisa, fuatilia ni wangapi wamepoteza Pi zao na hakuna msaada wowote waliopata.

Leo unakuja kusema haijazinduliwa, hivi unaelewa kweli unachozungumzia ? Kwani tarehe 20 mlikuwa mnasubilia nini ?
Siwezi ona mnaibiwa afu nikae kimya, Pi ni scam.
 
Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.

McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black software, Kwa wale msiofahamu kuhusu black software, black software ni zile software unazopewa task utengeneze lakini haziko public available, na Wala hauwezi kuwa na ruhusa ya kusema in public ulitengeneza software Gani, mana ukianza tu kuzigusia hata Kwa uchache ktk public unakuwa ni national threat, mwisho wa siku inabidi wakuue.

McAfee alipiga pesa nyingi kwenye crypto sio kwasabu ya kutrade bali kumention coin ambazo watu wanunue na kuuza kwenye Twitter Kwa sasa X, alikuwa anapewa commission yake lakini wamiliki wa coin walipiga pesa ndefu kutoka Kwa raia au followers wa McAfee, mana walikuwa wanacheza na Liquidity.

Kwa wale ambao tunafuatilia Habari ndiomana tunaona black project ambazo wamezifanya USA kwenye Area 51, Kuna wanajeshi zimewasababishia kansa lakini wanachohitaji ni matibabu tu sio fidia, na hata uwaulize walikuwa wanafanya nini Area 51 hawawezi sema kwasabu ni classified project, na hata taarifa za kuthibitisha kwamba walishiriki haziwezi patikana kwasabu ni National interest,

Leo nataka niwaambie wale wote wanaomiliki Pi, kuwa Pi ni scam project haitompa mtu umilionea zaidi ya wamiliki kwasabu wamepiga pesa nyingi kwenye Ads na data mining, wamekusanya KYC na kuuza Kwa makampuni yanayohusika, hususani MeTa na Google.
Pi yaweza kuwa ni black project ya kukusanya taarifa zenu na kuweka malware kwenye simu zenu.

Crypto unahitaji elimu na sio ukurupukaji, ndiomana ma CEO wa Pi ni social engineers sio crypto enthusiast, kaangalie hata chuo alichosoma CEO wa Pi wame mremove kwenye bio ili wajiepushe na scam ambayo kesho mtaishuhudia.

Kama unaelewa crypto mining huwezi sema unamine Pi, ndiomana apps zote za mining play store walishagazitoa.

Watu wanafikiri pi itampiku BTC lakini haiwezi japokuwa BTC Kuna siku itakuwa na anguko kubwa pale watu watakapojifunza maana halisi ya privacy, kwasabu huwezi amini katika privacy na unatumia CeX (centralized exchanges) kama Binance, Coinbase n.k kwasabu ni trackable.

Bitcoin sio anonymous bado ni trackable kwahiyo naamini kizazi kijacho hakitoitumia Bitcoin kwasabu ni zero privacy.

Sasa vipi kuhusu Pi ambayo ni KYC based, haziko open source tujue wanafanya nini Wala Chochote, lakini wajinga wanaikumbatia na hususani wazee wa affiliate,
Niwaambie tu Pi haitofika hata 1$ ila itavanish

Sasa kesho tusubiri kuona crypto millionaire wa Pi Network waje hapa mana ni siku ya Mainnet.
Asante nilitoa bandiko Ila watanzania ni watu wa ajabu sana wanawaza kuibiwa kila saa TAZAMA Dunia ipo upande mwingine wa pesa ya mtandaoni (Digital currency)
 
okay kwani Pi wakisema wata ilist kwenye exchange?? Au exchange ndio zimeifata Pi?

iko hivi mkuu ngoja nikupe shule kidogo ya; Mtu yoyote mwenye kitu cha tofauti na wengine huyo huwa hatakiwi hata kujitangaza Watu wenyewe watamfata sababu ana kitu cha kipekee na wakikufuata lazima wakubaliane na Masharti yako ndo kama hayo ya KYB.

Pi haikusema italist coin yake exchange yoyote ila exchange wataifuata Pi.

Muda si mrefu utaanza kuona aibu mwenyewe. Hujaisoma vizur Pi watu sio wajinga
Screenshot_20250223-132426.jpg

Pi ni waingo sana, na mbaya zaidi mnatumia upumbavu wenu kutajirisha wengine, miaka 6 ya matangazo unafikiri Pi wameingiza shingapi ?

Na sasa mmeanza kutapeliana wenyewe Kwa wenyewe.

Hii ndio wallet inayoiba Pi zenu Kwa asilimia kubwa.
GBII5MAPMOUHXNKBLZFGCKSTHXMB55AVYGFLVBC36RNH5O3ONSBH7BT6

Wanakuletea add uclaim Pi, then unajaza phrase Kisha wanapita na Pi, lakini wote wanapoteza tu muda kwasabu Pi ni nonsense.
 
Wale ambao siyo pioneers wanaonunua pi kwenye exchange na ku hold wakae wakijia hawatoweza kuzifanyia chochote pi hizo ndani ya mfumo wa pi hawatoweza kuzifanyia manunuzi kwenye Pi utility apps zile Dapps tunazosubiri ...
Pi utility apps zote zimeunganishwa na mfumo wa SDK SOFTWARE DEVELOPMENT KIT ili uweze kutumia mfumo huu lazima uwe ni Pioneer unae Chimba pi ulipasi KYC na migration...
Kwahiyo ukiangalia hesabu za CT ni kwamba we nunua pi huko exchange zunguka nazo lakini mwisho wa siku zitarudi tuu kwenye mfumo wa Pi ecosystem Kwa matumizi halisi yatakayo zingatia GCV 314159
Ila Pioneer halisi anaechimba pi na amepasi KYC na migration anaweza akahamisha Pi toka kwenye exchange kuja kwenye available balance yake kwenye Pi wallet...
Hutoweza ikwepa GCV na Pi zako hata kama umezipataje ni lazima upambane na SDK kwenye transaction yeyote ya manunuzi Kwa Pi 🥹
Kitu kizito kinakuja hivi karibuni 😄😄
 
Haya yote yanatokea kwakuwa watu wengi wanapenda sana kitonga,hii yote ni aina ya pyramid scheme,haiko systematic,tuwe makini,tufuate njia kuu.
 
Wale ambao siyo pioneers wanaonunua pi kwenye exchange na ku hold wakae wakijia hawatoweza kuzifanyia chochote pi hizo ndani ya mfumo wa pi hawatoweza kuzifanyia manunuzi kwenye Pi utility apps zile Dapps tunazosubiri ...
Pi utility apps zote zimeunganishwa na mfumo wa SDK SOFTWARE DEVELOPMENT KIT ili uweze kutumia mfumo huu lazima uwe ni Pioneer unae Chimba pi ulipasi KYC na migration...
Kwahiyo ukiangalia hesabu za CT ni kwamba we nunua pi huko exchange zunguka nazo lakini mwisho wa siku zitarudi tuu kwenye mfumo wa Pi ecosystem Kwa matumizi halisi yatakayo zingatia GCV 314159
Ila Pioneer halisi anaechimba pi na amepasi KYC na migration anaweza akahamisha Pi toka kwenye exchange kuja kwenye available balance yake kwenye Pi wallet...
Hutoweza ikwepa GCV na Pi zako hata kama umezipataje ni lazima upambane na SDK kwenye transaction yeyote ya manunuzi Kwa Pi 🥹
Kitu kizito kinakuja hivi karibuni 😄😄
hua nlikua nahisi mwamposa anatumia uchawi kuvuta watu lakini toka nmeanza kukutana na watu wa PI i can confirm hakuna uchawi wowote mwamposa anatumia ila ngombe ni wengi nchini., ivi wewe BTC ndo ya kwanza na ndo master plan wa crypto kwa ujumla, supply yake ni 21M coins na zmepotea nyingi balaa price ni $94k, PI ina coins 100B unataka price ya laki tatu dola, ivi unataka fadhila gan nyingine kutoka kwa Mungu katika kichwa chako?

Leo hii Mungu afanyaje ili akili yako ione kabisa kichwa chako ni kapu la kuwekea meno
 
Tusioelewa chochote tuna comments wapi
Ni topic gani Hii huko shuleni mkuu😳
 
kila kitu kuhusu PI ni self proclaimed PI hawana coin yoyote its all a scam
View attachment 3246533
Sizungumzii circulating supply, trading volume au kwa tafsiri nyengine ni kiwango cha kununuliwa na kuuzwa kwa coin ndani ya exchange husika, exchange zinatofautiana viwango lakini imezoeleka top zinakaa bitcoin, ethereum, solana na bnb kulingana na exchange
 
sasa hio inahusiana vp na PI kutokua scam? volume ilikua kubwa kwa sababu watu walikuja kuziuza price ikaenda chini ama huelewi maaana ya volume
 
Back
Top Bottom