Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Dah maskini!yaani hicho kitendo Cha kupigwa tukikatae kwa nguvu wanawake
Dawa yenu ipo inachemka na mtakunywa ukiwa yà moto 100'C maana waliooa wanasema mna midomo.

Ndoa ilinishinda miaka kenda nyuma...hakika yule Dada alikua na mdomo, katika ile ndoa " Vita niliipigana, imani nikailinda ila mwendo sikuumaliza"
 
Dah!dawa inachemka Tena?usiue mtu kisa mdomo wake!ukiona kazidi mdomo piga chini yatosha
 
Jamani anaejua vizuri story kwa Nini P kakatiliwa uhai wake atuelezee Basi.
 
Back
Top Bottom