Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Kamuua kwa hasira ya hapo kwa hapo. Labda sababu ya maneno mbofumbofu ya mke wake ikasababisha jamaa akapandwa na hasira hadi kumniga.
Ushaambiwa mwanaume alikuwa ni mtu wa physical violence.

Don't be judgemental mkuu.
 
Sasa unayafananisha ya Mandela na ya malaya wachora tatoo wa Tabata? Mwanamke mjinga asikubali kuolewa ili aendelee kufanya ujinga wake kwa amani. Sio unaolewa af unaleta mambo ya kitoto unagawa mbunye hovyo wakati unajijua una familia inakutazama.

Kingine kikubwa ndoa bila kujiweka karibu na neema za Mungu ndio balaa zito zaidi linalopelekea nyumba nyingi kuharibika.
Ndio hiki nilikua nataka kusema umeniwah..
Yan wanaume huwa hatuna wivu kwa mwanamke malaya tukishajua demu kicheche hata tukikuta na jamaa mwingine maisha yanaenda kiroho safi ndio mana tunashea mabaamedi...


Sasa we mtu demu umeolewa au unakula vya vya watu umepangishiwa umepewa gari afu bado unagawa mbunye ovyo badala utulie hulo suala ukikutana na vichaa lazma uuwawe...
 
Ndio hiki nilikua nataka kusema umeniwah..
Yan wanaume huwa hatuna wivu kwa mwanamke malaya tukishajua demu kicheche hata tukikuta na jamaa mwingine maisha yanaenda kiroho safi ndio mana tunashea mabaamedi...


Sasa we mtu demu umeolewa au unakula vya vya watu umepangishiwa umepewa gari afu bado unagawa mbunye ovyo badala utulie hulo suala ukikutana na vichaa lazma uuwawe...
Ni kukosa adabu kwa kiwango cha juu kabisa. Tutawazika sana
 
Sio wanarogwa na watu wasiowatakia ndoa yao mema bali hao hao wake zetu ndio wanatutengeneza kiasi kwamba hata akikosea unashindwa kuhimili wivu
Swali kwa nini wengine wenye hasira na wivu kama hao ila washajiapiza kuwa hawawezi kupigana nao ila kundi lingine linaamini katika kupiga mpaka kuua mwanamke...
 
Hao wa kuwamwagia maneno wako wapi siku hizi?wamejaa machungu na hasira,plus huu ugumu wa Maisha keshalipa ma ada ya watoto,site fundi kazingua kazini nako sijui Kuna Nini ukiingia kichwakichwa utakula za uso
it is all about timing, shida kubwa wanawake hata wanaume siku hizi wengi hawajui when and how to speak to an exhausted and frustrated man/woman....
 
Serikali itafanyaje? Labda waweke sheria kali ukimla mke wa mtu ukafumwa jela miaka 3O huenda ikasaidia.
Kwa sasa wake zetu wako vulnerable halafu wakiliwa aliyekula anaonekana kama mwamba kisheria sababu hamna vifungu vinavyolenga kumletea mume relief.
Tumeacha tamaduni na mila zetu tukakumbatia mapokeo wacha tunyooke.

Mbona kesi zilikuwa zina adhabu kabisa hizo
 
Niko mid 30,sijawahi kula kitasa hata kimoja!ninaogopa ngumi ya mwanaume balaa so tukiwa live siwezi kuchongoa mdomo Tena nasimama mbalii....Ila ukiona nimetoka kwenye uso wako meseji utazopata utajuta
Una tabia za mwanamke wangu[emoji28][emoji28]nilikuwa sielewi kwanini anafanya hivyo kumbe kukwepa kichapo[emoji23][emoji23]

Sema kupiga mwanamke sio mchongo, ni uonezi wa hali ya juu.
 
Yakinishinda nawaachia nyumba naenda zangu mbali huko huku nikiendelea kuitunza familia
Watu wengine sijui bado ni kula kulala? Unawaza kuondoka kwenda huko mbali kwa nani?

Yaani uache mali zako zote na kazi uende mbali halafu undelete kutunza familia?

Kwa kipato gani sasa? Duh akili hizi.

Sema muachane kila mtu aishi maisha yake siyo kumuua.
 
Back
Top Bottom