Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

KWA sisi wataalamu wa elimu kuhusu ulimwengu usioonekana tunajua chanzo.
Hakuna ni maisha ya kujizoesha kupiga wanawake ndio maana hizi kesi zitaendelea kuwepo hakuna kingine mwanamke ni kitu dhaifu sana sio hata cha kushindana nacho ubavu ila ukipewa majibu utaamini upo nae sawa kumbe hamna kitu ndio maana wachache wanafikia hatua ya kupigana kama adui yake kumbe ni kukosa mafunzo ya awali tuu hayo...hao ni watu dhaifu sio wa kushindana nao..
 
Mtu na demu wake nadhan kuforce au ndo hayo hayo usaliti ,wahun sikuiz wanakaa magetoni Salam hamna dharau nyingi
 
Dawati la jinsi lenyewe Ke wengi ni single mothers au waseja kabisa, unategemea afurahie usuluhishi wa kesi za wanandoa kwa amani kabisaaa?
 
Pengine sio kuchepuka, wanawake wana maneno mabaya tena ya shombo..ukiwa na roho nyepesi unaweza kuua hivi hivi.
 
Pengine sio kuchepuka, wanawake wana maneno mabaya tena ya shombo..ukiwa na roho nyepesi unaweza kuua hivi hivi.
Yap lakini tusifike huko ni kweli wanawake wana maneno mabaya sana ukiwa na hasira za karibu unaweza kufanya kitu kibaya mimi nimekulia Isanga uswahilini kabisa huko mbeya ugomvi kitu cha kawaida kabisa ila naogopa kupiga mwanamke hata niwe hasira vip najua maumbile yao sio ngangari kama wanaume unaweza kumgusa kidogo tu akaondoka kufa kwa wanawake sio kazi kama watu wanavyodhania ndio maana unaona mauaji ni mengi sana na mengine wauaji wanajilaumu baada ya kuua kwa kutokujua udhaifu wao kabla..
 
Halafu ikakubali kabisa kumilikiwa na boya! Wanawake bhana, sijui wanakosea wapi! Kwa muonekano tu wa huyo mwanamke, huwezi kugombana naye kiasi cha kumtoa roho.
Dunia pia mkuu sio salama watu hatuna hofu ya Mungu watu wengi wanaishi wakishafunga ndoa si wa kanisani wala msikitini ni kama ukute Msabato aue hapo ni kazi sana hao jamaa wana maadili fulani wapo sawa kwa vijana wa kike na wa kiume ingawaje wanaweza kuwa na mapungufu yao mengine ila sio muumini msabato apige na kuua mke hiyo tusitegemee kusikia karibuni...
 
Pwechele Tena?🤣🤣🤣🤣 you people mnaipa majina mengi Sana kitu yetu
 
hapa tstizo ni serikali niulize kwanini? lazima serikali woke sheria kali kwa mtu kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu hata watu wanandoa kujamiana kuwepo na adhabu kali za hapo.kwa papo huu upuuzi utaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…