Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

nachokijua ambacho serikali bado haitaki kutoa tamko ni kwamba tz kuna asilimia 40 ya watu wana ukichaa/ uchizi/depression/ umental inayowatafuna kutokana na namna ambavyo maisha yamekuwa na hawakutarajia, tunao hawa watu tupanda nao daladala, tunafanya nao kazi etc etc.na hiki kinachokumbwa ni kizazi cha mwaka 88 kuja 92, bila kufahamu mzizi wa changamoto hizi zinazotakana na ubovu wa malezi ya awali, kushindwa kuendana na mabadiliko ya kichumi, kuvamia ndoa bila kuwa na mafunzo basi tumepotea kama taifa. maisha sio lelemama, ndoa sio lelema, tuombee taifa na vijana dhidi ya mental cases.
 

Jamaa TOLU ,Black na ana MTONYO lakini MABAHARIA walikuwa wanatembea na BESELA la Mkewe.
 
Kuna mdau hapo juu kasema, wanawake ni mitego ya shetani kutuingiza kwenye matatizo. Nimemuelewa sana!.
Mimi mwenyewe nipo bar maana kwa mineno yake ,ningefanya jambo baya.
 
Moja ya jambo la hatari sana hasa kwa upande wa wanawake ni kujibishana na mwanaume anapokuwa amejawa na hasira. Kwa asili wanaume tumeumbwa sio waongeaji sana hivyo ni vema wanawake kutambua umuhimu wa kujishusha pindi waume zenu wanapokuwa katika hali ya hasira ili kunusuru uhai wenu hadi hasira zitakapopungua kisha mnayajenga vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya sana.

Juma lililoisha rafiki yangu kwa mara ya kwanza katika ndoa yake iliyodumu kwa miaka zaidi ya 17 alimpiga mkewe vibaya sana kiasi cha kila mtu kubaki anashangaa imekuwaje.

Kwenye suluhu, ilionekana kwamba pamoja na mkewe kuwa kwenye upande wa haki lakini mdomo wake ulimponza. Mwanamke hapendi mumewe anywe pombe, sasa ni kwa namna gani anashawishi hilo litokee akajikuta anaangukia kwenye kipigo cha hatari mno na watoto wote walisimama na baba yao kwa kudai kuwa ni kweli baba anakunywa na sote hatupendi lakini majibizano baina ya baba na mama ilikuwa ni dhahiri mama angedundwa tu kwa maneno yake machafu dhidi ya baba.

Mdomo unatema maneno ova radio ya mkulia yenye battery mpya.....hakuna mwanaume anapendezwa na hiyo hali, na kwakuwa kuongea sana hatuwezi matokeo yake ni kama hivo kuuana chaaaah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…