Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

nachokijua ambacho serikali bado haitaki kutoa tamko ni kwamba tz kuna asilimia 40 ya watu wana ukichaa/ uchizi/depression/ umental inayowatafuna kutokana na namna ambavyo maisha yamekuwa na hawakutarajia, tunao hawa watu tupanda nao daladala, tunafanya nao kazi etc etc.na hiki kinachokumbwa ni kizazi cha mwaka 88 kuja 92, bila kufahamu mzizi wa changamoto hizi zinazotakana na ubovu wa malezi ya awali, kushindwa kuendana na mabadiliko ya kichumi, kuvamia ndoa bila kuwa na mafunzo basi tumepotea kama taifa. maisha sio lelemama, ndoa sio lelema, tuombee taifa na vijana dhidi ya mental cases.
Serikali itafanyaje? Labda waweke sheria kali ukimla mke wa mtu ukafumwa jela miaka 3O huenda ikasaidia.
Kwa sasa wake zetu wako vulnerable halafu wakiliwa aliyekula anaonekana kama mwamba kisheria sababu hamna vifungu vinavyolenga kumletea mume relief.
 
Niko mid 30,sijawahi kula kitasa hata kimoja!ninaogopa ngumi ya mwanaume balaa so tukiwa live siwezi kuchongoa mdomo Tena nasimama mbalii....Ila ukiona nimetoka kwenye uso wako meseji utazopata utajuta
Utaishi miaka mingi 😂😂😂,,, mesej zako nazi bloko zikizidi
 
Niko mid 30,sijawahi kula kitasa hata kimoja!ninaogopa ngumi ya mwanaume balaa so tukiwa live siwezi kuchongoa mdomo Tena nasimama mbalii....Ila ukiona nimetoka kwenye uso wako meseji utazopata utajuta
angalia usije ukaishia kujiua siku moja.....sometimes kutapika meneno live kunafaa maana unaondoa sumu.... but you have to have a good man wakati unamwaga maneno yeye anacheka, unapata hasira unamwaga sumu yote, ukichoka unaenda kuoga yeye anakuja anakula mzigo kwa raha zake...maisha yanasonga.
 
Utachapa hiyo lapa Hadi lini ? WANAWAKE punguzeni umalaya hamjagundua Tu wanawaume hatuvumilii usaliti hasa Kwa mke wa ndoa.

Unataka maamuzi Gani magumu zaidi ya hayo ya kuwaua kama hao Ili wawe mfano Kwa wengine na Wewe ukiwemo.
You take things too personal, uamuzi wa kuua au kutoa roho ya mtu sio uamuzi wa busara, kama umemuoa mke ambae amekula kiapo cha kukuheshimu mpaka kifo halqfu akavunja kiapo, hastahili kua mke, ni vyema ukafanya maamuzi ya busara ya kuondoka kwenye hiyo ndoa na sio kuua, maisha yako yana thamani kuliko huyo anaekusaliti, kumuua ni kuonyesha udhaifu wa haki ya juu, just walk away
 
Back
Top Bottom