Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

😪kweli umepanic mkuu umeandika huku unakimbia kuelekea eneo la tukio...polen wafiwa.
 
Moja ya jambo la hatari sana hasa kwa upande wa wanawake ni kujibishana na mwanaume anapokuwa amejawa na hasira. Kwa asili wanaume tumeumbwa sio waongeaji sana hivyo ni vema wanawake kutambua umuhimu wa kujishusha pindi waume zenu wanapokuwa katika hali ya hasira ili kunusuru uhai wenu hadi hasira zitakapopungua kisha mnayajenga vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya sana.

Juma lililoisha rafiki yangu kwa mara ya kwanza katika ndoa yake iliyodumu kwa miaka zaidi ya 17 alimpiga mkewe vibaya sana kiasi cha kila mtu kubaki anashangaa imekuwaje.

Kwenye suluhu, ilionekana kwamba pamoja na mkewe kuwa kwenye upande wa haki lakini mdomo wake ulimponza. Mwanamke hapendi mumewe anywe pombe, sasa ni kwa namna gani anashawishi hilo litokee akajikuta anaangukia kwenye kipigo cha hatari mno na watoto wote walisimama na baba yao kwa kudai kuwa ni kweli baba anakunywa na sote hatupendi lakini majibizano baina ya baba na mama ilikuwa ni dhahiri mama angedundwa tu kwa maneno yake machafu dhidi ya baba.

Mdomo unatema maneno ova radio ya mkulia yenye battery mpya.....hakuna mwanaume anapendezwa na hiyo hali, na kwakuwa kuongea sana hatuwezi matokeo yake ni kama hivo kuuana chaaaah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake midomo, midomo,midomo na tuna kauli tata mnoo,zinakeraa na zinaumiza mnoo baasi tu!,afu kutukana Mwanaume ni kumdhalilisha mnoo uanaume wake ndo tunapopigwa hapo afu mbele ya watoto
 
Niko mid 30,sijawahi kula kitasa hata kimoja!ninaogopa ngumi ya mwanaume balaa so tukiwa live siwezi kuchongoa mdomo Tena nasimama mbalii....Ila ukiona nimetoka kwenye uso wako meseji utazopata utajuta
[emoji38][emoji38][emoji38]Mimi huyoo kabisaa yaaani live sitii neno ntakaa kimyaaaa,ukiwa mbaali Sasa![emoji119][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji125][emoji125][emoji3526][emoji3526]
 
Dawa yenu ipo inachemka na mtakunywa ukiwa yà moto 100'C maana waliooa wanasema mna midomo.

Ndoa ilinishinda miaka kenda nyuma...hakika yule Dada alikua na mdomo, katika ile ndoa " Vita niliipigana, imani nikailinda ila mwendo sikuumaliza"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji38][emoji38][emoji38]Mimi huyoo kabisaa yaaani live sitii neno ntakaa kimyaaaa,ukiwa mbaali Sasa![emoji119][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji125][emoji125][emoji3526][emoji3526]
🤣🤣🤣Watakuja watuvizie siku moja watuvunje vidole vinavyotupa jeuri
 
Sema nini wadau.. matukio ya wapenzi/watu kuuwana yamekua mengi sana almost miaka mitano hii mfululizo. Hii ikoje aseee.. yan sa iv liwalo na liwe.. utaskia huku huyu kabaka mara kalawiti mara ajali yaan mise ni mingi.. mara teuzi,mikeka khaaa
Bado urusi kimeumana huko yaan changanyikeni asee
20221002_214633.jpg
 
Dawa yenu ipo inachemka na mtakunywa ukiwa yà moto 100'C maana waliooa wanasema mna midomo.

Ndoa ilinishinda miaka kenda nyuma...hakika yule Dada alikua na mdomo, katika ile ndoa " Vita niliipigana, imani nikailinda ila mwendo sikuumaliza"
Kuna tatizo pahala, oa mke mwema, soma tabia zake, mwisho Ili kupata mke mwema tengeneza Sheria zako ukiona huyu ndo mwema mpe Sheria kama ataziweza na kama hawezi apite njia, hiyo ya kelele wewe usiwe nayo na yeye pia maana Kuna wengine wanaoa wake wema wao wanageuka majanga zile Sheria asizopenda kufanyiwa anamfanyia mwenza wake, munatupa shida sana kulalamika kwa maamuzi yenu ya kuoa vituko.
 
Nà Mimi nilikua na mawazo kama wewe, pengine kuzidi.

Ila yalinikuta.

Muulize @ masanja mjanja,anaedai kwa Yesu ana kiwanja.
 
Back
Top Bottom