Unaona sasa, kumbe wewe una matatizo yako binafsi na Hamisa, sisi hatuzungumzii tabia zake au matendo yake, hapa tunajadili "muonekano" wake katika hiyo picha hapo juu. Hayo mambo ya "uswahili" sijui "uganga" ni wewe unajua na siyo ajenda ya mleta mada.
Wengi wao ni wafuasi wa waganga inamaana uyo mganga walijuanaje na mama vibenten(sandra)hadi amtunzie izi voice note?????Ila ndumba za Juma Njemba aache sasa anajiaibisha mwanamke wa kweli ni kumchanganya mwanaume na viuno kunako sita kwa sita sio kutumia uchawi..ova
mwenye hela sio!Khaaa mi nachagua aisee
mwenye hela sio![/Q
Upstairs kwanza na muonekano
na m nifundishe kiingereza kama WEMA kumfundisha dayamondi nataka warumi umfundishe fundi bishoo
Hizo hela za kuchezea atazimiss sana very soon
Shem ninunulie dictionary nisipitweLeo wale wambea mchwara watapotezwa na kiinglish!
Usimrudie Baba Dylan mwanaume anaekudhalilisha move on girl.
Majanga, Biashara itang.....o ndio iy........o.Huyu dada hana pozi lingine pasipo pinda kiuno ?
Tatizo anajibinua sana
HahahahaYuko vizuri cha muhimu tu video zake zisivuje