Picha: A new glamorous look of Hamisa Mobetto

Picha: A new glamorous look of Hamisa Mobetto

Unaona sasa, kumbe wewe una matatizo yako binafsi na Hamisa, sisi hatuzungumzii tabia zake au matendo yake, hapa tunajadili "muonekano" wake katika hiyo picha hapo juu. Hayo mambo ya "uswahili" sijui "uganga" ni wewe unajua na siyo ajenda ya mleta mada.

True
 
pesa mama, mkionaga mwanaume mwenye pesa hata awe na domo kama samaki mnatokwa udenda juuu na chini[emoji23][emoji23][emoji23] sio wewe lakini dada sky eclat
Usimrudie Baba Dylan mwanaume anaekudhalilisha move on girl.
 
Ila ndumba za Juma Njemba aache sasa anajiaibisha mwanamke wa kweli ni kumchanganya mwanaume na viuno kunako sita kwa sita sio kutumia uchawi..ova
Wengi wao ni wafuasi wa waganga inamaana uyo mganga walijuanaje na mama vibenten(sandra)hadi amtunzie izi voice note?????
 
Hivi nani kajiweka hapo mana nataka niingie mzima mzima..
Nivizuri nimjue mpinzani wangu mapemaaa. Nitafute mbinu za kimedani kumdondosha.
 
warumi nimekua nakuheshimu sana dada yangu/mdogo wangu ila kwa hili siwezi kulikalia kimya,kwa sababu unajua kabisa umbea ni sunna kwa maeneo kama Tandale kwa mfuga mbwa,Mwananyamala kwa bi nyau,buguruni n.k na siku zote umbea umekuwa ukinoga zaidi kwa ukiongelewa kwa lugha adhimu ya kiswahili hasa kile cha kabila langu la kizaramo,umeamua kuwafumba wambea uchwara wote(wadada wenzio sina uhakika na mamen) kwa kuweka kimamtoni kwenye thread kana kwamba huu umbea unawahussu zaidi watoto wa upanga,masaki,oysterbay,hili hali ndugu zangu wa uswazi wakibaki wametoa macho kama wamepoteza shilling mia gizani,[emoji23],kwa hili nakulaumu sana hujawatendea haki wambea uchwara kama kina Siwatu Mafirigisi,Kidawa,Rhoda chechezamoto maana wamebaki wametoa macho tu kama wameona kuku kapanda baiskeli,hii tabia sio nzuri sikufichi wenzio wamebaki wakijisemea tu "MH huyu nae"
 
Back
Top Bottom