Picha: A new glamorous look of Hamisa Mobetto

Picha: A new glamorous look of Hamisa Mobetto

Naomba niseme tu "Wakubwa kwa kweli wanafaidi" pia "Paka husifiwa kwa uzuri wa MKIA wake"
 
warumi nimekua nakuheshimu sana dada yangu/mdogo wangu ila kwa hili siwezi kulikalia kimya,kwa sababu unajua kabisa umbea ni sunna kwa maeneo kama Tandale kwa mfuga mbwa,Mwananyamala kwa bi nyau,buguruni n.k na siku zote umbea umekuwa ukinoga zaidi kwa ukiongelewa kwa lugha adhimu ya kiswahili hasa kile cha kabila langu la kizaramo,umeamua kuwafumba wambea uchwara wote(wadada wenzio sina uhakika na mamen) kwa kuweka kimamtoni kwenye thread kana kwamba huu umbea unawahussu zaidi watoto wa upanga,masaki,oysterbay,hili hali ndugu zangu wa uswazi wakibaki wametoa macho kama wamepoteza shilling mia gizani,[emoji23],kwa hili nakulaumu sana hujawatendea haki wambea uchwara kama kina Siwatu Mafirigisi,Kidawa,Rhoda chechezamoto maana wamebaki wametoa macho tu kama wameona kuku kapanda baiskeli,hii tabia sio nzuri sikufichi wenzio wamebaki wakijisemea tu "MH huyu nae"
leo kaleta umbea kulingana na picha haijakaa kiswahili[emoji23][emoji23]
 
Utumwa upi hapo sasa?? Kama mtu anafanania na Europeans au Asians tusiseme sababu ya kuogopa kuwa Watumwa wa fikra?? In this photograph does Hamisa resembles an African look??

Kama wewe unafikiri nilichoandika ni Utumwa, its up to you. When it comes to pictures every person has their own perception.
A Caucasian lady in deed!
 
chchunge
I won't do justice if I comment In swahili for this new glitz and glamorous look of Hamisa Mobetto, the Queen without a throne.

This is the one of the most gorgeous trending pic on instagram for now. Hamisa Mobetto, I may not be your die hard fan but for this one let me honor you for today, you are more than Tz sweetheart, you are so amazing , smart and epitome of an eloquent fashionista.

May you keep shining and hold the throne , you look extremely beautiful [emoji257].

You have never disappointed when it comes dressing, you always know what looks good on you mama , you dress like a an international model.

View attachment 911979
re.PNG
 
mwaka wa diamondi, 14 Feb, Ua Jeuse, kaacha Dai, Mama Tunguli naye Sept 14 naye kaacha, Juzi Nove 14 Kaacha tena na Kimnaaa mhuuu
 
Back
Top Bottom